Waziri Nape alipomtembelea Diamond Platinumz

Hapo kwenye mavazi hajaonyesha uwepo Wa serikali kwenye ofisi yake. Diamond sometimes be classy.
 
anataka amdaidie kukusanya kijiji kama alivyomfanyia kipindi kile cha campeni
 
Kiukweli kutomchukia Diamond kunahitaji roho yenye upako... hapa ndipo ninapowaelewa wale wooooooote wanaomchukia jamaa!!! Thamani ya hiyo office table na hivyo viti pamoja na kabati pekee, ni kodi ya ghetto ya miaka 2 ya majority ya wana-JF wanaomkashifu Diamond kwamba hajasoma na eti Mswahili!!
 
Maono yangu kuna mawaziri wengine hawana kazi za kufanya na huyu ni mmoja wao.
 
Hiyo ofisi ina ukubwa gani bwana mdogo? Ungesifia furniture za ofisi angalau ningekuelewa, wenye ofisi kubwa ni kina Nimrod Mkono wanaochukuwa floor nzima ya PPF Tower
 
teh teh Diamond ana wanunua mawaziri ili wamtembelee ofisini kwake...Diamond ni mjanjamjanja sana....
Kwahiyo kumbe makada wenzako wananunulika? Basi hata Makufuli atakuwa ana bei yake ya kununuliwa mpaka anakwenda kwa Bakhresa na kumpa shamba bure.
 
watz weng sana tunapend a majungu ..hatupend devt ya watu cjui kwanini?
kuna kosa.mh nape kwenda diamond. ?
 
Hapo waziri alikuwa anasikiliza radio yetu pendwa akasikia kuna kijana kawapa milioni 35
 


Waziri wa Habari Nape Nnauye alipomtembelea Diamond Platinumz ofisini kwake leo. Bila shaka amenogewa na midundo ya Kokoro.
kwa mavazi na muonekano wa Diamond anaonekana amefikia stage kwake ujio wa waziri ni kitu cha kawaida sana na ahitaji maandalizi ya ''kupiga deki barabara''.
 


Waziri wa Habari Nape Nnauye alipomtembelea Diamond Platinumz ofisini kwake leo. Bila shaka amenogewa na midundo ya Kokoro.

Hivi kiba ana ofisi ya kutembelewa Na waheshimiwa wetu. Maana naona Dai full ugeni wa watu wazito
 
Dr Magufuli mda si mrefu nae ataenda kumtembelea diamond!

Hivi waliomaliza shule moja na diamond na kuendelea kusoma na wameajiriwa serikalini au sector binafsi hvi watakuwa na mafanikio ya diamond? Hapa ndiyo napo ona shule haina umuhimu!
 

Ofisi kubwa wapi bhana,kabati na viti bya mchina hivyo,milioni moja unajaza vyote hivyo sema yeye kwa kazi yake ya "upunda" amemudu
 
Hahahahaha kweli chako rahaaaa nimecheka sana kumbe ofisii za kiserekali mtu huu vaa km kiserekali? Na ofisi za kisaniii mtu huu vaa km msaniii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…