Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu ulikuwa hujui hilo jamboNi wazi Diamond ni agent wa kuzimu angalieni hiyo picha vizuri kuna Fuvu la kichwa cha mtu.
Manake nini?
Hiyo ofisi ina ukubwa gani bwana mdogo? Ungesifia furniture za ofisi angalau ningekuelewa, wenye ofisi kubwa ni kina Nimrod Mkono wanaochukuwa floor nzima ya PPF TowerNafikiri wasanii wengine wapaswa kujifunza kwa Dimond,the guy is so talented lakini pia ametambua mziki ndio ajira yake kwahiyo ameamua kuinvest vyakutosha mpaka kuweza kumiliki ofisi kubwa kama hiyo jambo ambalo limekuwa geni sana kwa wasanii wetu wa kiafrika.
Bora hata mavazi, hata angeamuwa kukaa tumbo wazi ni sawa ni ofisini kwake, angekwenda ofisini kwa waziri hivyo ndio ingekuwa kosa ila waziri kamfuata mwenyewe ofisini.Huyo kijana mavazi gani sasa hayo kavaa ofisini?
Kwahiyo kumbe makada wenzako wananunulika? Basi hata Makufuli atakuwa ana bei yake ya kununuliwa mpaka anakwenda kwa Bakhresa na kumpa shamba bure.teh teh Diamond ana wanunua mawaziri ili wamtembelee ofisini kwake...Diamond ni mjanjamjanja sana....
kwa mavazi na muonekano wa Diamond anaonekana amefikia stage kwake ujio wa waziri ni kitu cha kawaida sana na ahitaji maandalizi ya ''kupiga deki barabara''.![]()
Waziri wa Habari Nape Nnauye alipomtembelea Diamond Platinumz ofisini kwake leo. Bila shaka amenogewa na midundo ya Kokoro.
![]()
Waziri wa Habari Nape Nnauye alipomtembelea Diamond Platinumz ofisini kwake leo. Bila shaka amenogewa na midundo ya Kokoro.
Nafikiri wasanii wengine wapaswa kujifunza kwa Dimond,the guy is so talented lakini pia ametambua mziki ndio ajira yake kwahiyo ameamua kuinvest vyakutosha mpaka kuweza kumiliki ofisi kubwa kama hiyo jambo ambalo limekuwa geni sana kwa wasanii wetu wa kiafrika.