Hahaha....eti upunda though wenzake wamefanya upunda kitambo mpaka wamekuwa wateja lakini hata hako kaofisi kadogo wameshindwa kuwanacho.
Sijasema hivyo kiongozi,sisi jukumu letu ni kuwasupport hawa wasanii katika kufikia malengo yaoKumbe ni lipunda dah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata Mimi Nina Ofisi Sema Sitaki Kutangaza
Good
Waziri wa Habari Nape Nnauye alipomtembelea Diamond Platinumz ofisini kwake leo. Bila shaka amenogewa na midundo ya Kokoro.
Na bado masuala ya Itifaki hayafahamu..kwa mgeni kama huyo ilitakiwa atoke hapo alipokaa aje kukaa kwenye kiti huku aliko mgeni wake.Hapo kwenye mavazi hajaonyesha uwepo Wa serikali kwenye ofisi yake. Diamond sometimes be classy.
Bado sana masuala ya Itifaki hayajui.Halafu kuna tofauti kati mtu aliyekutembea na anayehitaji huduma.. ni kweli wangekaa aidha katika kochi
KisKwahiyo mlitaka akae kwenye makochi ili mseme siyo ofisi yake?
Diamond hakuna alichokosea hata angekaa juu ya meza na kuongea na mgeni wake ni sawa tu, mimi binafsi sioni tatizo.
Acha ubishi wa kishabiki..wenzio wanaongelea ukweli na vile inatakiwa iwe..hapo kuna tatizo kuna vitu havifahamu ambavyo ni vya msingi sana katika Mahusiano yake na watu wa makundi mbalimbali.Kwahiyo mlitaka akae kwenye makochi ili mseme siyo ofisi yake?
Diamond hakuna alichokosea hata angekaa juu ya meza na kuongea na mgeni wake ni sawa tu, mimi binafsi sioni tatizo.