Waziri Nape alipomtembelea Diamond Platinumz

Waziri Nape alipomtembelea Diamond Platinumz

c30c8ce7e29ef3d007ca4a68888e2b6e.jpg

Waziri wa Habari Nape Nnauye alipomtembelea Diamond Platinumz ofisini kwake leo. Bila shaka amenogewa na midundo ya Kokoro.
Good
 
Hapo kwenye mavazi hajaonyesha uwepo Wa serikali kwenye ofisi yake. Diamond sometimes be classy.
Na bado masuala ya Itifaki hayafahamu..kwa mgeni kama huyo ilitakiwa atoke hapo alipokaa aje kukaa kwenye kiti huku aliko mgeni wake.
 
Nape ana kazi nyingi sana za kufanya badala ya kwenda kwa Diamond kumtembelea.Hizi kiki nyingine hizi zinadhalilisha wakubwa zetu.
 
Acha ubishi wa
Kwahiyo mlitaka akae kwenye makochi ili mseme siyo ofisi yake?

Diamond hakuna alichokosea hata angekaa juu ya meza na kuongea na mgeni wake ni sawa tu, mimi binafsi sioni tatizo.
Kis
Kwahiyo mlitaka akae kwenye makochi ili mseme siyo ofisi yake?

Diamond hakuna alichokosea hata angekaa juu ya meza na kuongea na mgeni wake ni sawa tu, mimi binafsi sioni tatizo.
Acha ubishi wa kishabiki..wenzio wanaongelea ukweli na vile inatakiwa iwe..hapo kuna tatizo kuna vitu havifahamu ambavyo ni vya msingi sana katika Mahusiano yake na watu wa makundi mbalimbali.
 
Back
Top Bottom