Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
CCM ya mwendazake, Polepole na Bashiru ilikuwa ya wahutu.Anamkebehi Polepole kuwa alimtimua Membe japokuwa yeye sio mzaliwa wa ndani ya CCM tofauti na Shaka aliyemrejesha Membe. Hizi ni dharau
👇
View attachment 2244914
KaziiendeleeAnamkebehi Polepole kuwa alimtimua Membe japokuwa yeye sio mzaliwa wa ndani ya CCM tofauti na Shaka aliyemrejesha Membe. Hizi ni dharau
👇
View attachment 2244914
Chawa bhana ! tayari ushamkana Polepole !Mzee wa ma-V8,[emoji3][emoji3]
Yaani wasikilizaji woote wamekaa kimya hata kumpigia makofi wamegoma. Ni dalili kuwa aliyoropoka Nape hawakuyaafiki.Hata mimi kama Jabali la Siasa nakubaliana na Nape Nnauye kuwa Shaka Hamdu Shaka ni kiongozi mnyenyekevu sana.
Shaka ana uchungu na Chama chetu cha Mapinduzi kwelikweli.
Msikilize hapa Bwana Nape mpaka mwisho.
View attachment 2244144
Hili limesemwa wapi?Kwahiyo ambao awakuzaliwa chamani au ndugu zao kuwa na madaraka wasahau kushika uhongozi.?
Kwanini nimkane mwanachama mwenzangu?Chawa bhana ! tayari ushamkana Polepole !