TaiPei
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 572
- 608
Shaka kwakweli ni jembe nakubaliana na hii commentHata mimi kama Jabali la Siasa nakubaliana na Nape Nnauye kuwa Shaka Hamdu Shaka ni kiongozi mnyenyekevu sana.
Shaka ana uchungu na Chama chetu cha Mapinduzi kwelikweli.
Msikilize hapa Bwana Nape mpaka mwisho.
View attachment 2244144