Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Kwenye ukurasa wake wa X (Twiiter) Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Ndg. Nape Nnauye amesema huduma za internet zimerejea kwa 94% na sasa wanafanya jitihada huduma hiyo irejee kwa 100%
"Kazi Inaendelea vizuri. Mpaka mchana wa leo Tarehe 15/5/2024, Huduma za Internet zimerejea kwa 94%! Nawapongeza sana TCRA na watoa huduma kwa kazi nzuri ya kurejesha huduma. Tumalizie kipande kilichobaki." - Nape Nnauye