Waziri Nape: Kuna tofauti Kati ya Tozo na makato ya miamala ya benki, Tozo za miamala ya Simu tumezipunguza kwa 50%

Huyu Nape aache ujinga. Swala siyo ukubwa wa matozo bali uwepo wa hizo tozo. Kinachohojiwa ni uhalali wa kuwatoza watu for the same money ..... imagine una mshahara wako bank umeiningizwa, ukiutoa unakatwa tozo, hiyo pesa ukiituma kwa mama yako kijijini unakatwa tozo .... mama akipokea anakatwa tozo ..... is that correct!!?
 
Ukiendekeza kusoma na kumsikiliza Nape, unaweza ukaishia kuwa mtukanaji ukatupwa kuzimu baada ya maisha ya hapa duniani
 
Lipa Tozo kwa maendeleo ya Taifa
Huku nilipo nalipa tozo na matokeo ya malipo ya tozo nayaona bila hata kuuliza.

Ninyi huko mnalipa tozo kwa viongozi waendeshe magari ya kifahari huku wakiwatimulia vumbi ndio uone tofauti.

Kataa kuwa mjinga mara moja.
 
Wengi wanataka kukimbilia Kenya. Maisha bongo ni magumu kwa wananchi
 
Nape ndio kabisa angekaa kimya ili asichafue hali ya hewa kwani hekima sdhani kama ziko vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…