Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Ni marudio tu, makampuni ni mali yao wao wanaohoji.Waziri wa Habari na Teknolojia ya Habari Mhe Nape Nnauye ameiagiza TCRA kuyaagiza makampuni ya simu kusitisha upandishaji wa bei ya Vifurushi mpaka hapo watakapokaa na Serikali kuzungumza kuhusu jambo hilo.
Wenye roho nzuri wakishika madaraka nchi inajawa furaha.Waziri wa Habari na Teknolojia ya Habari Mhe Nape Nnauye ameiagiza TCRA kuyaagiza makampuni ya simu kusitisha upandishaji wa bei ya Vifurushi mpaka hapo watakapokaa na Serikali kuzungumza kuhusu jambo hilo.
Chanzo: DarMpya
Pia soma
- Gharama za vifurushi vya intaneti zapandishwa tena kimya kimya. Je, ni censorship ya aina yake?
View attachment 2090471
Waziri wa Habari na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye
Hiyo roho nzuri waionyeshe kwenye bundle tu, kuliko kwenye vyakula huko?mafuta, vifaa vya ujenzi.Wenye roho nzuri wakishika madaraka nchi inajawa furaha.
...the need!Isidingo...
Unataka wakusaidie kila kitu?? Acha uvivu fanya kazi weweHiyo roho nzuri waionyeshe kwenye bundle tu, kuliko kwenye vyakula huko?mafuta, vifaa vya ujenzi.
Ila Nape Nnauye yuko vzr sana, huyu hata alisitahili kuwa pale kwa Makamba, sharp in acting!!!!Waziri wa Habari na Teknolojia ya Habari Mhe Nape Nnauye ameiagiza TCRA kuyaagiza makampuni ya simu kusitisha upandishaji wa bei ya Vifurushi mpaka hapo watakapokaa na Serikali kuzungumza kuhusu jambo hilo.
Chanzo: DarMpya
Pia soma
- Gharama za vifurushi vya intaneti zapandishwa tena kimya kimya. Je, ni censorship ya aina yake?
View attachment 2090471
Waziri wa Habari na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye
Hawezi kuingilia huko. Yeye anacheza na vitu viko chini ya wizara take.Hiyo roho nzuri waionyeshe kwenye bundle tu, kuliko kwenye vyakula huko?mafuta, vifaa vya ujenzi.
Tuvumilia tu pengine haya nayo yataisha kama ilivyoisha Isidingo.Isidingo...
malizia ... the needIsidingo...