Waziri Nape Nnauye na kipaji chake

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Baada ya kazi ngumu ya kulitumikia Taifa kama Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Waziri Nape Nnauye hapa anaonyesha kipaji chake kingine cha kupiga gitaa na kuimba. Kazi na dawa waungwana.

 
Tuliambiwa baadhi ya wanasiasa wana vipaji tofauti....

Mwakyembe ni kulia.......

Mwingine kupiga ngoma.......

Sasa na huyu Gitaa........

Swali ni je kwanini wasingejishugulisha zaidi juu ya vipaji vyao? Maana huku naona wanatuangusha sana......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…