Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Baada ya kazi ngumu ya kulitumikia Taifa kama Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Waziri Nape Nnauye hapa anaonyesha kipaji chake kingine cha kupiga gitaa na kuimba. Kazi na dawa waungwana.