Kama alitumwa na aliyetangulia mbele za haki itakuwaje?Na yule alikutolea bastola tumuite aseme nani alimtuma, Kama vipi Ubaya Ubaya tu .
Atatumbuliwa baada ya wiki moja na ndio utakua mwisho wake ktk siasa labda januaro makamba aje kiwa rais ndio labda ana chansi ya kurudiNakukumbusha Mh. WAZIRI mteule wa wizara ya habari. Mara baada ya kiapo chako naomba urudi viunga vya St. Peter ukasome ripoti ya tume ya Uvamizi wa KITUO Cha Clouds.
Kisha tuendelee na mapendekezo ya tume huu ndio muda wa kuikomboa tasnia.
Na yule alikutolea bastola tumuite aseme nani alimtuma, Kama vipi Ubaya Ubaya tu .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mbwai mbwai uongo! watu watakimbilia msumbijiNakukumbusha Mh. WAZIRI mteule wa wizara ya habari. Mara baada ya kiapo chako naomba urudi viunga vya St. Peter ukasome ripoti ya tume ya Uvamizi wa KITUO Cha Clouds.
Kisha tuendelee na mapendekezo ya tume huu ndio muda wa kuikomboa tasnia.
Na yule alikutolea bastola tumuite aseme nani alimtuma, Kama vipi Ubaya Ubaya tu .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa zaidi ya miaka watu wamekuwa wanauliza ni lini serikali itachukua hatua dhidi kitendo kile Sasa "kidile mwali kivike" na mwenye ngoma yake atueleze mbivu na mbichi otherwise makonda asafishwe na yeye abaki na aibu yakeAtatumbuliwa baada ya wiki moja na ndio utakua mwisho wake ktk siasa labda januaro makamba aje kiwa rais ndio labda ana chansi ya kurudi
Sio nongwa kila mtu ale alicholima na kuvunaAcheni nongwa.
Mmmmmmh! Dina!!, acheni hizo jamani, tuwe na moyo wa kusamehe.Mkuuu kunywa soda nalipa