Waziri NAPE, peke yako tu ndio unaona ghalama za bundle zimeshuka?

Waziri NAPE, peke yako tu ndio unaona ghalama za bundle zimeshuka?

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Katika hari ya kawaida, Ni ujinga sana kutetea ghalama za bundle kwamba zimeshuka.

Na naamini Nape anajua kabisa either Rais hanunui bundle na hivyo hajui ghalama zake ama anaamuni Rais hawezi mfanya chochote.

Watanzania wote wanalia na hizo ghalama lakini yeye anatetea zimeshuka. Nape ni Bomu. Huyu anafaa kuwa kijijini analima.

Hapo hapo kashindwa anwani za makazi.
 
Back
Top Bottom