YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Uko sahihi mia kwa miaJambo la msingi tutumie uhuru wetu vizuri.
Leo hii tumeona vyombo vya habari na magazeti yaliyo kuwa yamefungiwa yote yamefunguliwa.
sasa taabu ni matumizi sahihi ya uhuru.