Hahaaa, pia bando zao ukijiunga za wiki haifikii hata siku 2 imeisha. Mungu atusaidie kwa kweli Watanzania. Hatuna viongozi tuna malofa wanaojali matumbo na familia zao tu.Siku hizi voda ukijaza vocha bila kujiunga wanakukata
Na hujawah kukopa...?Yaani asubuh nmetumiwa ujumbe nadaiwa 6070 ya songesha nimelipa 3000 Kati ya hiyo niliyoombewa
Naambiwa nadaiwa 16000 na zaidi aise hawa jamaa ni wezi balaaa.
MH Nape nipo tyr kukupa ushirikiano ili kukomesha wizi huu. Staki kuamini yakuwa upo nyuma ya wizi huu tafadhali jumbe zao.
View attachment 2745672
Dawa ya deni ni kulipa kaka lipa tuImenitokea hii. Cha ajabu ni kuwa sijawahi kukopa hata siku moja. Katika kukopa kuna suala la vigezo na masharti. Sijawahi kujaza vipengele hivyo. Lakini pia binafsi sihitaji kukopa toka kwao. Aidha pia ktk maisha yangu yote, kutokana na imani yangu, mimi sio mshiriki wa masuala ya mikopo ya riba.
Majuzi ilianza deni la elfu na... Baadae ikawa 2,800... Leo nimeambiwa deni langu ni 16,923/- !!!