Kichwa cha habari kinajieleza, nchi nyingine wanaruhusu kulipia kwa match ama kuchagua movie unayotaka unalipia, ama pay per View, why not do the same ?
Nawasilisha
-----‐--------
Hawa DSTV tatizo lao wanataka faida kubwa kwa haraka, wenzao AZAM TV japokuwa hawaweki pesa kubwa lakini wana wateja wengi zaidi, na is just a matter of time , DSTV wasipobadilisha business model yao wataondolewa sokoni na aidha AZAM TV or another rival who is more consumer oriented. Kilichowafanya Google kuwa giant na ku survive a test of time, ni model yao ya 'long tail ', yaani kutobagua wateja wadogo wadogo, na hiyo model ndio wanaitumia AZAM TV, sasa AZAM TV wakijiongeza kidogo tu, wakaja na model hii ninayopendekeza watawatoa rivals sokoni.