Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Serikali inafanyia kazi hoja za ukaguzi zilizotolewa na CAG na hatua zakisheria zitachukuliwa dhidi ya wale watakaothibitika kuwa ni wavunjifu wa sheria na kusababisha upotevu wa fedha za umma bila kujali mkubwa wala mdogo kama alivyoelekezaMheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Serikali itaendelea kuimarisha vitengo vya ukaguzi wa ndani kwa kuvijengea uwezo wa kitaaluma na kuwekeza kwenye mifumo ya TEHAMA pamoja na kuchukua hatua kali pale panapothibitika uwepo wa uvunjifu wa sheria.
Hizi ni hatua za kulinda mali za umma na ni hatua za kukabiliana na watumishi wa umma wanaotumia vibaya fedha za walipa kodi.