Prince Juzo
Member
- Feb 4, 2018
- 56
- 73
πππππ.Halafu nani aliwaambia wajiite madokta?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππππ.Halafu nani aliwaambia wajiite madokta?
Watu kama ninyi ndio mnaonekana wasomi wa hovyo.Sasa ndugu unanikosoa, wakati haujui matumizi ya nukta tu. Kajifunze kiswahili kwanza
Acha dharau wewe..hao jamaa wanavyo visoma na md yako huwapati hata robo.Halafu nani aliwaambia wajiite madokta?
Naamini bado upo SUA, cheki na mwenyekiti wa TVA Prof. Karimuribo, mjuze hilo.Waziri Ndaki na katibu(mifugo) Bw. Nzunda, Uhalisia kuhusu kuomba kusitisha mafunzo atimizi (internship) kwa madaktari wa mifugo.
kutoka kwa Vet Surgeon
Habari Mh. Mashimba Ndaki , pole na majukumu na hongera kwa kuwezesha sekta ya mifugo kuendelea kusonga mbele.
Kulingana na Takwimu za 2020, Tanzania inakadiriwa kua na mifugo million 33.9 na ya pili kwa wingi wa mifugo Afrika, baada ya Ethiopia. Pia kilimo na mifugo vina changia zaidi ya asilimia 28 ya uchumi wetu. Hizi zote ni juhudi zako Mheshimiwa.
Katika sekta hii ya mifugo kuna wataalamu mbalimbali walio ajiriwa ili kulinda afya ya jamii na afya za wanyama (public health, Animal health and one health etc) kama wakaguzi wa nyama (meat inspector), madaktari wa wanyama nk.
Katika wizara yako upande wa mifugo kuna shahada mama ya Udaktari wa mifugo, ambayo ina tolewa na chuo cha kilimo cha Sokoine University of Agriculture (SUA)
Kuhusu mafunzo atimizi (internship) kwa madaktari wa mifugo
Mafunzo atimizi kwa madaktari wa mifugo, ni ya mhimu sana kwetu kama madaktari wa mifugo na yana tuandaa vyema kwa vitendo kwenda kuitumikia jamii. Mafunzo aya yapo kisheria , yanapatikana katika Sheria ya Veterinari ( Veterinary Act , 2003), Sura 319 na kanuni zake(regulations) 2020 (GN. 725& 726).
Kwanini tunaomba aya mafunzo yasitishwe?
1. Kanunu zake za 2020 (regulations) bado zinaitaji marekebisho ( amendment), kwasababu zimekaa kinyonyaji. Zina mhitaji daktari aliyesoma miaka 5 au zaidi (5 solid year's) , aende kwenye mafunzo atimizi (intern) mwaka mzima bila malipo ya kujikimu ππππππππ. Uyu mtu amesoma kwa shida yaani kwa mkopo wa HESLB, wengine ni yatima, wengine wanafamilia, wengine wamesomeshwa. Je hatawezaje kuishi mwaka mzima bila malipo ya kuijikimu?????
2. Mafunzo atimizi (internship) , miaka yote hayakuwepo. Toka fani hii imeanzishwa , kuna madaktari, maprofesa walifanya na wanafanya vizuri tu mtaani bila kuwepo haya mafunzo, kwanini wayalazimishe kipindi hichi bila mandalizi yoyote kwa wahusika ππππππ. Nyie ndio wenye nguvu ya kimaamuzi (decision power) kuhusu sisi, kwanini msiweke mambo sawa kabla ya kutoa maamuzi ambayo hayata tuumiza sisi ππππππππ.
3. Wizara ya afya ina fani mama nyingi kama madaktari wa binadamu, wakunga, wataalamu wa madawa, wataalamu wa mahabara, watalaamu wa lishe nk., na ina vyuo vingi vinavyo toa izi fani. Kwaio wanaomaliza ni wengi sana zaidi ya watu 1000, na kupitia wizara yao, hawa pia wana mafunzo atimizi (internship) ambayo wanalipwa asilimia 80 ya mshahara wa matumishi wa serikali kulingana na fani yako, kama hela ya kujikimu. Sasa sisi madaktari wa mifugo ambao kwa mwaka atuzidi watu 60, kweli mmeshindwa kutufadhiri au hata kututaftia mfadhiri (sponsorship) kwenye Wizara yako ili na sisi tufanye internship na tuwe na hela kujikimu kama wenzetu ππππ
4. Mwaka jana mlijaribu kuwalizimisha wahitimu wa 2020 waende kwenye mafunzo atimizi (internship), ila mlishindwa na mkawasajili kama madaktari wa mifugo. Kama mwaka jana mliona mapungufu, kwanini msitumie izo izo sababu na changamoto za mwaka jana mkatusajili na sisi au mkazitaftia ufumbuzi izo changamoto kabla ya kuturusu na sisi kuendelea na internship. Yaani tumemaliza toka mwaka jana (miaka 5) mpaka leo bado hatujasajiliwa yaani huu ni mwaka wa sita sasa ππππππππ. Mnatupotezea malengo, tumekua kama watu wenye laana, tunaangaika mtaani na vitu viwili, yaani hatuna kazi na pia hatuwezi kufanya kazi hata yakujitolea kwasababu hatuja sajiliwa πππππππ.
4. Tumeangaika sana, tumeandika barua sana wizarani, ila hatujasidiwa mpaka sasa.
Kipi kifanyike
1. Watusajili tu, ili tupambane na swala moja la kutokua na kazi (jobless). Maana saizi imeshakua mwezi wa tano na bado hatujajua mustakabali wa maisha yetu.
2. Tufanye mafunzo atimizi (internship) kama kawaida , ila watutatulie changamoto ya pesa ya kujikimu, yaani yawepo malipo hata kama ni pungufu ya wanaolipa kwenye wizara ya afya.
3. Waongee na bodi ya mikopo (HESLB) , waongeze mda. Tuwe tunapewa mkopo kwa miaka sita ili mwaka wa mwisho tuwe tunaenda kwenye mafunzo atimizi (internship). Japo tunaongeza deni (financial burden). Ila itakua bora kuliko kuishi bila hela ya kujikimu mwaka mzima.
4. Msitutenganishe kati ya wenyenacho na watoto wa masikini. Kwasababu wapo watakao weza kujigharamikia mwaka mzima bila malipo, ila wapo sisi watoto wa wakulima, hatutaweza.
Hitimisho
1. Tunaomba mtusajili ili na sisi tuwe tunauwezo wa kuomba kazi kama wenzetu na pia msitutenganishe kulingana na hali zetu za familia, yaani watu wanaotoka kwenye familia bora na wenye uwezo wa kujihudumia mwaka mzima wa internship ndio wasajiliwe. Sisi masikini tukatupwa nje ya mfumo yaani "mwenye nacho kuongezewa na asio nacho kunyanganywa kabisa hata kidogo alicho nacho".
2. Toeni Elimu kwanza hasa kwa mwaka wa kwanza, ili mtu ajiandae kisaikolojia na kiuchumi kama hii program itakua unafanyika bila hela ya kujikimu. Na sio kumshitukiza mtu ambaye akujiandaa na ameshamaliza.
Ni hayo yangu, sita attach barua yoyote japo ninazo, ila uhalisia ndio huo.
Nawasalimu kwa jina la jamhuri.
Vet Surgeon
Nb: Haya ni maoni yangu binafsi
Wote wanajua kinacho endelea, ila wapo kimya.Naamini bado upo SUA, cheki na mwenyekiti wa TVA Prof. Karimuribo, mjuze hilo.
Bora wafanye hivi kidogo tutasaidika.Kwa hiyo intern serikali iseme, kijana ajitolee!
Siyo apangiwe eneo la kwenda!
Kila mtu afanye intern nyumbani kwao ofisi za kata au vijiji!
Wasiwapangie mfano, mtu katokea Ukerewe akawe intern Newala!
Pole Dr Ila vets wanapiga Sana hela!
Kila house call! Nilipo tumezunguka ni wafugaji mbwa, Ng'ombe, mbuzi Katoliki, kuku kienyeji, layers, broilers, chotara. Na Dr anayetumika ni mmoja. Wengine wana maduka ya pembejeo n.k
nakumbukaga sana Ile kauli kwamba ipo siku vizazi vijavyo vitakuja kuchapa bakora makaburi yetu Kwa mambo ambayo wazee wetu waliopewa nafasi huko kwenye mfumo wanayoyafanya......Kuna watu ambao wako kwenye dhamana wanafanya maamuzi ya hovyo sana kisa wao walishavuka kwenye hatua hiyo, huwezi kutunga sheria ya kuwataka vijana kwenda internship bila kuweka utaratibu wa wao kulipwa posho kama wenzao kwenye wizara ya afya........huu ni uzwazwa na hakuna mtu aliyewashikia kisu kuleta hiyo sheria kwa pupa, hovyo sana......
Ila kwenda internship mwaka mzima bila malipo sio mchezo, Sijui wanaofanya haya maamuzi wanafikiria nni!!!!!!!????nakumbukaga sana Ile kauli kwamba ipo siku vizazi vijavyo vitakuja kuchapa bakora makaburi yetu Kwa mambo ambayo wazee wetu waliopewa nafasi huko kwenye mfumo wanayoyafanya......
Sometimes unawaza labda mtungaji Sheria kasomea mazingira mazuri that's y anaona kama n simple Tu kujitolea .........
Kutukomoa tu, kwasababu hatuna nguvu kwenye maamuzi ( decision power).Ila kwenda internship mwaka mzima bila malipo sio mchezo, Sijui wanaofanya haya maamuzi wanafikiria nni!!!!!!!????
Kweli ndugu, yaani wanatunga sheria bila kujui jinsi gani zitatekelezwa. Au bila kua na mipango ya utekelezaji wa hizi sherianakumbukaga sana Ile kauli kwamba ipo siku vizazi vijavyo vitakuja kuchapa bakora makaburi yetu Kwa mambo ambayo wazee wetu waliopewa nafasi huko kwenye mfumo wanayoyafanya......
Sometimes unawaza labda mtungaji Sheria kasomea mazingira mazuri that's y anaona kama n simple Tu kujitolea .........
Mimi pia nilitamani kusoma kozi hii, kumbe Mungu ame niepusha na mengi.Kutukomoa tu, kwasababu hatuna nguvu kwenye maamuzi ( decision power).
Wale ni ma-Afisa mifugo na siyo madoktaAcha dharau wewe..hao jamaa wanavyo visoma na md yako huwapati hata robo.
Wewe unasoma kiumbe hai mmoja wao wanasoma karibia mamalia wote.
Kwahiyo kama udokata hawa ndio walistahili kabisa hilo jina.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
hatari snπππππ.
Hata mkituita wakulima ni sawa tu, nyie kwenye Wizara yenu si mna watu wakuwatetea.Wale ni ma-Afisa mifugo na siyo madokta
Waziri Ndaki na katibu(mifugo) Bw. Nzunda, Uhalisia kuhusu kuomba kusitisha mafunzo atimizi (internship) kwa madaktari wa mifugo.
kutoka kwa Vet Surgeon
Habari Mh. Mashimba Ndaki , pole na majukumu na hongera kwa kuwezesha sekta ya mifugo kuendelea kusonga mbele.
Kulingana na Takwimu za 2020, Tanzania inakadiriwa kua na mifugo million 33.9 na ya pili kwa wingi wa mifugo Afrika, baada ya Ethiopia. Pia kilimo na mifugo vina changia zaidi ya asilimia 28 ya uchumi wetu. Hizi zote ni juhudi zako Mheshimiwa.
Katika sekta hii ya mifugo kuna wataalamu mbalimbali walio ajiriwa ili kulinda afya ya jamii na afya za wanyama (public health, Animal health and one health etc) kama wakaguzi wa nyama (meat inspector), madaktari wa wanyama nk.
Katika wizara yako upande wa mifugo kuna shahada mama ya Udaktari wa mifugo, ambayo ina tolewa na chuo cha kilimo cha Sokoine University of Agriculture (SUA)
Kuhusu mafunzo atimizi (internship) kwa madaktari wa mifugo
Mafunzo atimizi kwa madaktari wa mifugo, ni ya mhimu sana kwetu kama madaktari wa mifugo na yana tuandaa vyema kwa vitendo kwenda kuitumikia jamii. Mafunzo haya yapo kisheria , yanapatikana katika Sheria ya Veterinari ( Veterinary Act , 2003), Sura 319 na kanuni zake(regulations) 2020 (GN. 725& 726).
Kwanini tunaomba aya mafunzo yasitishwe?
1. Kanunu zake za 2020 (regulations) bado zinaitaji marekebisho ( amendment), kwasababu zimekaa kinyonyaji. Zina mhitaji daktari aliyesoma miaka 5 au zaidi (5 solid year's) , aende kwenye mafunzo atimizi (intern) mwaka mzima bila malipo ya kujikimu ππππππππ. Uyu mtu amesoma kwa shida yaani kwa mkopo wa HESLB, wengine ni yatima, wengine wanafamilia, wengine wamesomeshwa. Je hatawezaje kuishi mwaka mzima bila malipo ya kujikimu?????
2. Mafunzo atimizi (internship) , miaka yote hayakuwepo. Toka fani hii imeanzishwa , kuna madaktari, maprofesa walifanya na wanafanya vizuri tu mtaani bila kuwepo haya mafunzo, kwanini wayalazimishe kipindi hichi bila mandalizi yoyote kwa wahusika ππππππ. Nyie ndio wenye nguvu ya kimaamuzi (decision power) kuhusu sisi, kwanini msiweke mambo sawa kabla ya kutoa maamuzi ambayo hayata tuumiza sisi ππππππππ.
3. Wizara ya afya ina fani mama nyingi kama madaktari wa binadamu, wakunga, wataalamu wa madawa, wataalamu wa mahabara, watalaamu wa lishe nk., na ina vyuo vingi vinavyo toa izi fani. Kwaio wanaomaliza ni wengi sana zaidi ya watu 1000, na kupitia wizara yao, hawa pia wana mafunzo atimizi (internship) ambayo wanalipwa asilimia 80 ya mshahara wa mtumishi wa serikali kulingana na fani yako, kama hela ya kujikimu. Sasa sisi madaktari wa mifugo ambao kwa mwaka atuzidi watu 60, kweli mmeshindwa kutufadhiri au hata kututaftia mfadhiri (sponsorship) kwenye Wizara yako ili na sisi tufanye internship na tuwe na hela kujikimu kama wenzetu ππππ
4. Mwaka jana mlijaribu kuwalizimisha wahitimu wa 2020 waende kwenye mafunzo atimizi (internship), ila mlishindwa na mkawasajili kama madaktari wa mifugo. Kama mwaka jana mliona mapungufu, kwanini msitumie izo izo sababu na changamoto za mwaka jana mkatusajili na sisi au mkazitaftia ufumbuzi izo changamoto kabla ya kuturusu na sisi kuendelea na internship. Yaani tumemaliza toka mwaka jana (miaka 5) mpaka leo bado hatujasajiliwa yaani huu ni mwaka wa sita sasa ππππππππ. Mnatupotezea malengo, tumekua kama watu wenye laana, tunaangaika mtaani na vitu viwili, yaani hatuna kazi na pia hatuwezi kufanya kazi hata yakujitolea kwasababu hatuja sajiliwa πππππππ.
4. Tumeangaika sana, tumeandika barua sana wizarani, ila hatujasidiwa mpaka sasa.
Kipi kifanyike
1. Watusajili tu, ili tupambane na swala moja la kutokua na kazi (jobless). Maana saizi imeshakua mwezi wa tano na bado hatujajua mustakabali wa maisha yetu.
2. Tufanye mafunzo atimizi (internship) kama kawaida , ila watutatulie changamoto ya pesa ya kujikimu, yaani yawepo malipo hata kama ni pungufu ya wanaolipa kwenye wizara ya afya.
3. Waongee na bodi ya mikopo (HESLB) , waongeze mda. Tuwe tunapewa mkopo kwa miaka sita ili mwaka wa mwisho tuwe tunaenda kwenye mafunzo atimizi (internship). Japo tunaongeza deni (financial burden). Ila itakua bora kuliko kuishi bila hela ya kujikimu mwaka mzima.
4. Msitutenganishe kati ya wenyenacho na watoto wa masikini. Kwasababu wapo watakao weza kujigharamikia mwaka mzima bila malipo, ila wapo sisi watoto wa wakulima, hatutaweza.
Hitimisho
1. Tunaomba mtusajili ili na sisi tuwe tunauwezo wa kuomba kazi kama wenzetu na pia msitutenganishe kulingana na hali zetu za familia, yaani watu wanaotoka kwenye familia bora na wenye uwezo wa kujihudumia mwaka mzima wa internship ndio wasajiliwe. Sisi masikini tukatupwa nje ya mfumo yaani "mwenye nacho kuongezewa na asio nacho kunyanganywa kabisa hata kidogo alicho nacho".
2. Toeni Elimu kwanza hasa kwa mwaka wa kwanza, ili mtu ajiandae kisaikolojia na kiuchumi kama hii program itakua unafanyika bila hela ya kujikimu. Na sio kumshitukiza mtu ambaye akujiandaa na ameshamaliza.
Ni hayo yangu, sita attach barua yoyote japo ninazo, ila uhalisia ndio huo.
Nawasalimu kwa jina la jamhuri.
Vet Surgeon
Nb: Haya ni maoni ya
Vet Surgeon, ni lazima uelewe kuwa matatizo yako yatatuliwa na wewe mwenyewe kwa kiasi kikubwa. Nachoweza kuwashauri ni yafuatayo:Waziri Ndaki na katibu(mifugo) Bw. Nzunda, Uhalisia kuhusu kuomba kusitisha mafunzo atimizi (internship) kwa madaktari wa mifugo.

Watatuaje matatizo wenyewe?P
Vet Surgeon, ni lazima uelewe kuwa matatizo yako yatatuliwa na wewe mwenyewe kwa kiasi kikubwa. Nachoweza kuwashauri ni yafuatayo:
1. Fikisheni malalamiko yenu kwa viongozi wenu wa TVSA.
2. Mji'organise wote mfanye utaratibu wa kutuma wawakilishi kwenda Wizara yenye dhamana ya mifugo ili mfikishe malalamiko yenu.
Tena kaburi la huyo kichomi waliyempeleka hapo; Anajiita Dr ( kama Presidenti wa mawe, miti na vichuguu) Tixon Nzunda ! Shughuli wanayo , huwa anaongozwa na bichwa lake lenye piihechidii....... simalizii asije kuni beni saa8 maana ndio anachojua tu....nakumbukaga sana Ile kauli kwamba ipo siku vizazi vijavyo vitakuja kuchapa bakora makaburi yetu Kwa mambo ambayo wazee wetu waliopewa nafasi huko kwenye mfumo wanayoyafanya......