Anatetea tumbo lake..tu hakuna kingine.Leo nimesitika Mbunge anachangia Wastaafu walipwe Mafao ya Mkupuo kama Awali. Ndalichako akaInterupt na kusema Watu wanaolipwa pesa nyingi Sana ambazo si zao hivi wanastahili Kikokotoo. Yaani miaka yote hii ndio Ndalichako kaona Waanze 2022 kupunja Wastaafu akidai wataishi miaka 12. Hivyo Kikokotoo kinawatosha.
HV tangu ln mwanasiasa akawa na huruma na mapenzi KWA mtumishi?wanahisi watumishi NI mazuzu.mbona wap miaka 5 Tu milioni zaidi ya 300.mbn hawazungumzii kujipa robo then nyngne wawe wanpewa kidogokidogo?Anatetea tumbo lake..tu hakuna kingine.
Mtu anastaafu halafu unampa mafao yake 47M halafu zingine unabaki nazo eti mumpe kidogo ndani ya miaka 12 ..akifa ndani ya miaka 3 mbona hamsemi chochote !!!???
Yaani huyu Maza Professor anasiliba utazani hiyo Pesa iliyozulumiwa anapelekewa yeye. Eti Watu wanapewa Pesa nyingi ambazo si zao. Basi Wastaafu Wote warudishwe tangu ilipojulikana Pesa si zao. Amshukuru Magufuli na Wana Jf waliompitisha kuwa Waziri. Leo hii Angekuwa naye anakipata akitokea UDSm. Hana huruma ana Roho ya Kihutu na Kitusi. Mzee amefanya KazI 40 years akiwa Officer eti bila Aibu unampa Mkupuo wa Pensheni 39 Million. Halafu kila Mwezi unampa Laki 3na 50. Iko wapi Ile dhana ya kufaidi Pensheni Uzeeni? Wazee walikuwa na Madeni na ni wale waliokuwa hawana Fursa yeyote Ofisini zaidi ya monthly Salary.Hicho kikokotoo cha 33%, ni cha kipumbabu sana. I wish kingewagusa pia na hao wapiga meza baada ya kumaliza miaka yao 5 ya kupiga meza na vigelegele.
Heche keshasema 272milioni Kwa miaka 5 tuu. Awamu hii huenda wakapewa 350milioni Kwa miaka 5. Wametumia pesa za Wastaafu kuwekeza miradi Isiyozalisha hata Hilo hawalioni. Majumba Marefu kama lile karibu na Tcra Hq halina Wapangaji pesa irudi. Daraja la Kigamboni, Ubungo Plaza watoke hazarani waeleze wanapata Faida gani kwenye hayo Majengo.Hivi na wao huwa wanalipwa kwa kikokotoo?.
Jibu la swali hili ndio la mhimu kuliko mada ya kikokotoo yenyewe.
Ndio hapo sasa.HV tangu ln mwanasiasa akawa na huruma na mapenzi KWA mtumishi?wanahisi watumishi NI mazuzu.mbona wap miaka 5 Tu milioni zaidi ya 300.mbn hawazungumzii kujipa robo then nyngne wawe wanpewa kidogokidogo?
Mwendakuzimu mama yako!Huyo mama ni katili. Nitamlaumu sana mwendakuzimu kutuletea watu makatili kama yeye. Natumaini mama atapiga chini masalia yote ya awamu ya 5.