Wizara ya Ardhi
Member
- May 14, 2024
- 94
- 75
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amefanya kikao kazi na wataalamu wa Ofisi ya Mthamini Mkuu wa Serikali Novemba 1, 2024 kilichofanyika Makao Makuu ya Wizara Mtumba jijini Dodoma.
Katika kikao hicho, Mhe Ndejembi amewataka wataalamu wa idara hiyo kufanya kazi kwa weledi wakizingatia sheria, kanuni, taratibu na miongozo ya taaluma zao hatua inayosaidia kusimamia kikamilifu utekelezaji wa mipango mbalimbali ya wizara katika kuwahudumia watanzania.
Soma Pia: Wataalamu wa Ardhi wametakiwa kuwahudumia Watanzania kwa weledi