waziri ndejembi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi aagiza kuundwa kwa kamati ya Uchunguzi wa hitilafu ya Gridi ya Taifa

    📌 Taarifa ya Kamati itaiwezesha Serikali kuchukua hatua ili tatizo hilo lisijitokeze tena. Waziri wa Nishati, Deogratius J. Ndejembi (Mb.), amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu kuunda kamati ya uchunguzi itakayobaini chanzo cha hitilafu...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi: Serikali imewataka TPDC, PBPA na EWURA kushusha bei ya mafuta baada ya kushuka kwa bei duniani

    Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema kuwa Serikali imezitaka mamlaka za TPDC, PBPA na EWURA kuhakikisha kuwa punguzo la bei ya mafuta katika soko la dunia linaanza kuonekana kwa wananchi nchini kuanzia mwezi ujao. Agizo hili linakuja kufuatia kuanza kushuka kwa bei ya mafuta ghafi...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi: Mawaziri wa Afrika wanaoshughulikia Nishati na Uchukuzi watambua mchango wa Rais Samia

    Umoja wa Afrika umetambua juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuendeleza na kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ndani na nje ya nchi, na kumpendekeza kutangazwa rasmi kuwa kinara wa Umoja wa Afrika wa ajenda hiyo. Hatua hiyo imefikiwa...
  4. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi, Makamba Wakutana na Viongozi wa Puma Energy Tanzania

    Waziri wa Nishati Mhe. Deogratius Ndejembi na Naibu Waziri wa nishati Mhe. Salome Makamba wakiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania. Bi. Fatma Abdallah pamoja na Mkuu wa Idara ya Sheria na Mahusiano wa Puma Energy, Bw. Emmanuel G. Bakilana
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi: Nchi yetu imeendelea kuwa na uhakika wa upatikanaji wa Mafuta

    Akiwasilisha Makadirio ya mapato na Matumizi ya Wizara kwa mwaka 2026/2027 Bungeni Dododma leo Aprili 22, 2026, Waziri wa Nishati nchini, Deogratius John Ndejembi amesema; "Nchi yetu pia imeendelea kuwa na uhakika wa upatikanaji wa bidhaa ya mafuta ya petroli; yaani petroli, dizeli, mafuta ya...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi akutana na Balozi wa Oman, wajadili masuala ya mafuta na gesi

    Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Oman nchini Tanzania, Mhe. Saud Al-Shidhani yaliyolenga kuimarisha na kuendeleza ushirikiano kati ya nchi hizo mbili katika sekta ya nishati. Mazungumzo hayo yamefanyika leo, tarehe 17 Februari 2026, katika Ofisi...
  7. USSR

    JamiiForums Tanzania TANESCO na waziri Ndejembi hii sahihi mwaka unaisha na umeme mkubwa juu ya paa la nyumba ya mjane huyu

    [Jina lako kamili] [Anuani yako kamili – mtaa, kijiji/kata, wilaya] Simu: [Namba yako ya simu] Barua Pepe: [Ikiwa unayo] Tarehe: [Andika tarehe ya leo, mfano: 28 Julai 2025] Kwa: Meneja wa TANESCO Mkoa wa Pwani Nakala: Meneja wa TANESCO Wilaya ya Kibaha S.L.P [Weka anwani yao kama unayo]...
  8. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi aagiza mjane kukabidhiwa nyumba yake ndani ya siku 14

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemuelekeza Kamishna wa Ardhi Mkoa wa Dar es Salaam kushirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhakikisha ndani ya siku 14 Mjane wa Marehemu Fadhil Hussein Omari anakabidhiwa Nyumba yake iliyokua imepangishwa kwa Kwa...
  9. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi atoa siku tatu uhakiki wa mpaka eneo lenye mgogoro Kimbiji

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi ameielekeza Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Mkoa wa Dar es Salaam mpaka kufikia Jumatatu ya Julai 21, 2025 iwe imewasilisha taarifa ya uhakiki wa mipaka ya kiasili ya eneo linalolalamikiwa lililopo Kimbiji katika Halmashauri ya...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Lusinde: Waziri wanakutumia meseji za kukutisha, usiogope chapa kazi

    Mbunge wa Jimbo la Mvumi, Livingstone Lusinde, amempongeza na kumuhimiza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, kuendelea kutenda haki bila woga wala upendeleo, licha ya vitisho anavyopokea kutoka kwa watu wanaodhulumu wananchi. Akichangia bungeni leo, Mei 29...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi: Serikali kuanzisha chombo cha kuwasimamia madalali

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amesema ukosefu wa chombo cha kuwasimamia Madalali katika sekta ya ardhi umekuwa ukisababisha ongezeko la migogoro mingi katika sekta hiyo. Ndejembi ameeleza hayo Ijumaa Mei 23, 2025 Jijini Dodoma wakati akizungumza na...
  12. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi azindua mkutano wa wadau wa mpango mpya wa uendelezaji Osterybay na Masaki

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi April 28, 2025 amezindua mkutano wa kwanza wa wadau kwa ajili ya marejeo ya mpango wa uendelezaji upya wa eneo la Oysterbay na Masaki jijini Dar es Salaam. Akizungumza katika uzinduzi wa mkutano huo, Mhe. Ndejembi...
  13. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi aagiza shamba la mjane kurudishwa, aonya wavamizi wa ardhi Dodoma

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemuelekeza Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Dodoma, Geofrey Mwamsojo kumrudishia shamba lake, Bi. Madina Hassan kutoka kwa Moses Kabeja anaetajwa kulimiliki bila kufuata utaratibu wa kisheria. Mhe. Ndejembi ametoa...
  14. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi Aingilia Mgogoro wa Ardhi kati ya Wananchi wa Lunyanywi na KKKT Njombe

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi leo Aprili 3, 2025, amefanya ziara ya siku moja mkoani Njombe kwa lengo la kusikiliza na kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa muda mrefu wa ardhi kati ya wananchi wa eneo la Lunyanywi na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania...
  15. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Ndejembi aahidi milioni 5 kwa ukarabati wa Parokia Geita

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Waziri. Mhe. Deogratius J. Ndejembi ameahidi kutoa milioni 5 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda uso kwa uso na Gambo kwenye mabanda Arusha, ona kilichotokea mbele ya Waziri Ndejembi

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda leo Jumatatu ya Machi 03, 2025 akiwa ameambatana na Waziri wa ardhi Deogratius John Ndejembi kutembelea mabanda kwenye maonyesho ya wiki ya mwanamke Jijini Arusha wamekutana uso kwa uso na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo. Pia, Soma Kumekucha...
  17. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi awataka wadaiwa pango la ardhi kulipa

    A WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka wadau wa sekta ya ardhi nchini ambao wanadaiwa pango la ardhi kulipa deni hilo kabla ya mwaka wa fedha 2024/25 kumalizika. Mhe. Ndejembi ametoa agizo hilo Machi 05, 2025 wakati akizungumza katika kikao kazi cha...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi aagiza kusimamishwa kazi kwa afisa ardhi Handeni kwa kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameagiza kusimamishwa kazi kwa Afisa Ardhi wa Halmashauri ya Mji wa Handeni kutokana na kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi katika eneo hilo. Ametoa agizo hilo Februari 20, 2025, wakati wa ziara ya Waziri Ndejembi katika...
  19. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi aagiza eneo la ukuta lililozidi kigogo kuvunjwa

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ametoa siku mbili kwa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kuvunja ukuta uliozidi kwenye kiwanja namba P18618 kilichopo eneo la Kigogo jijini Dar es Salaam baada ya mmiliki wake kushindwa kuwasilisha nyaraka za uhalali wa kiwanja hicho. Mhe...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi atoa siku mbili kuvunjwa ukuta kigogo kutokana na kukosekana nyaraka halali za umiliki

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameipa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni siku mbili kuvunja ukuta wa kiwanja namba P18618, eneo la Kigogo, baada ya mmiliki wake kushindwa kuwasilisha nyaraka za uhalali wa umiliki. Akizungumza na wananchi leo...
Back
Top Bottom