Waziri Ndejembi, Makamba Wakutana na Viongozi wa Puma Energy Tanzania

Waziri Ndejembi, Makamba Wakutana na Viongozi wa Puma Energy Tanzania

Blasio Kachuchu

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
721
Reaction score
438

Waziri wa Nishati Mhe. Deogratius Ndejembi na Naibu Waziri wa nishati Mhe. Salome Makamba wakiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania. Bi. Fatma Abdallah pamoja na Mkuu wa Idara ya Sheria na Mahusiano wa Puma Energy, Bw. Emmanuel G. Bakilana
​
 
Back
Top Bottom