mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Msaada please; ikiwa mimi ni shabiki ndaki wa al ahly... sina passport nimekulia kwa mtogole... sina jezi nyekundu nina alegy nayo... naweza tinga kanguo kangu ka njano? Au nitamkera waziri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukurani.Bro ngurumo naona mabeyo ametoa episode2 kupitia link ile ya mwanzo pitia
😀😀 nimechanganya madesa lengo nilikuwa ukaa galie part2 ya mabeyoShukurani.
Sasa hii umemtumia Ngurumo au mimi? Au mimi ndiyo ushanichanganya na Ngurumo?
Mbona siioni sasa? Link please.😀😀 nimechanganya madesa lengo nilikuwa ukaa galie part2 ya mabeyo