Waziri Ndumbalo kwenda kuhamasisha stars ni matumizi mabaya ya pesa za Umma

Waziri Ndumbalo kwenda kuhamasisha stars ni matumizi mabaya ya pesa za Umma

Hamasa wanayo hitaji wachezaji ni pesa na kelele za shangwe kutoka kwa mashabiki wa kweli wanao penda mpira, hao wanasiasa watulize makalio yao waangalie mpira kwenye tv wasiende kutia nuksi kule
 
Back
Top Bottom