sengobad JF-Expert Member Joined Aug 13, 2017 Posts 9,008 Reaction score 8,788 Jan 16, 2024 #21 Tindo said: Kwa mvuto gani alionao? Click to expand... Huwa dimwelewi jamaa, hivi huwa ni mzima kweli??
Tindo said: Kwa mvuto gani alionao? Click to expand... Huwa dimwelewi jamaa, hivi huwa ni mzima kweli??
Papasa JF-Expert Member Joined Nov 2, 2018 Posts 2,619 Reaction score 5,780 Jan 16, 2024 #22 Hamasa wanayo hitaji wachezaji ni pesa na kelele za shangwe kutoka kwa mashabiki wa kweli wanao penda mpira, hao wanasiasa watulize makalio yao waangalie mpira kwenye tv wasiende kutia nuksi kule
Hamasa wanayo hitaji wachezaji ni pesa na kelele za shangwe kutoka kwa mashabiki wa kweli wanao penda mpira, hao wanasiasa watulize makalio yao waangalie mpira kwenye tv wasiende kutia nuksi kule