Siyo hilo tu. Katiba ya Kenya inasema uteuzi wa Makatibu Wakuu ( CAS), lazima uidhinishwe na bunge. Lakini mwezi March Rutto aliteua na kuapisha Makatibu Wakuu bila idhini ya BungeUmeandika takataka, nenda Kenya, Wana katiba mpya, bado wanabishana bei ya unga, narudia bei ya unga, sio barabara za rami
wakumpotezea usibebe kila kitu toka kwake kashiba huyo hamjuwi mwenye njaa,juzi nilimsikia akisema lilifanyika kosa kuvunga mfumo wa mabalozi kuwa na nguvu kiserikali mana walikuwa wanawajuwa watu wao!!.Kwani kazi ya serikali nini kupitia sensa na serikali ya mtaa hadi alete uzembe wake hapa?Huko Usa haki zikivunjwa unaenda mahakamani na mahakama ipo hutuView attachment 2597231
Acha uongo wewe mbumbumbu. Hicho kitu hakiwezekani Kenya ungesikia kesi mahakamaniSiyo hilo tu. Katiba ya Kenya inasema uteuzi wa Makatibu Wakuu ( CAS), lazima uidhinishwe na bunge. Lakini mwezi March Rutto aliteua na kuapisha Makatibu Wakuu bila idhini ya Bunge
Acha kuwa na mawazo potofu na ya kishetani.Waziri kaelezea kwa mapana zaidi kwa kifupi sana lakini alichomaanisha waziri ni kwamba katiba mpya haitabadili watu wabaya kuwa wema kwa maana rahisi ni kwamba mtu mbaya ataendelea kufanya ubaya kwa dhamira na nia sio kwa sababu ya katiba mpya.
Huko Usa haki zikivunjwa unaenda mahakamani na mahakama ipo hutuView attachment 2597231
Hiyo ni katiba butu, Huyu Jamaa hajui kitu kuhusu katiba iliyojitosheleza. Inang`ata. Hata yeye asingepata hiyo nafasi. Ana uwezo mdogo sanaWaziri kaelezea kwa mapana zaidi kwa kifupi sana lakini alichomaanisha waziri ni kwamba katiba mpya haitabadili watu wabaya kuwa wema kwa maana rahisi ni kwamba mtu mbaya ataendelea kufanya ubaya kwa dhamira na nia sio kwa sababu ya katiba mpya.