The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Waziri Ndumbaro hafai popote huku kwenye michezo ndo hafai hafai kabisa analeta migogoro na anazidi kuharibu...
Juzi watanzania waliona kilichotokea kwenye boxing....Ugomvi wa kibishara WA mapromota WA ngumu umeleta aibu kubwa sana.....huku waziri akiwa mshiriki Mkuu....
Promota ambae ana mkataba na Azam TV ..kanyang'anywa pambano lake la Mwakinyo na Mgana Allotey lilitakiwa kufanyika ijumaa ukumbi WA warehouse Masaki na lioneshwe Azam TV na limetangazwa mwezi mzima...badala yake promota mwingine akaliiba Hilo pambano limekuja fanyika Jumamosi.. ukumbi huo huo na likaonyeshwa na Millard Ayo TV....yaani jana...huku wale wote tuliolipia king'amuzi azam TV tukiwa tumetapeliwa kisa tu mapromota wanaibiana waziri kupitia kamisheni ya ngumi aliyoiunda mwenyewe baada ya kuivunja ile iliyokuwa inasimamia vizuri na kuchaguliwa na wadau ...
Huyu Waziri hafai hata kuwa mjumbe WA serikali ya mtaa