Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ingekuwa ni ajabu kwa mwanaume rijali Kama Mheshimiwa kuachia totoz moto kama Aunt. Keep it up hizo ni adventure za wanaume rijali
Mambo ya posho hayo!!
Mi nilishaanza kitambo mkuu!!Lazima muandamane juu ya hili, totoz!
aisee... wewe sasa wewe, ohoooooooCjui ana mke huyu?
NzuriiiiiHuwa wanakesha baa/club alafu wanaamkia mjengoninamkumbuka Mw.Nyerere akisema 'pale Uingereza waziri mmoja mdogo alionekana akipitapita mtaani na mama mmoja mpaka watu wakaanza minongono he ho ho,waziri yule akaamua kumuandikia waziri mkuu kuomba kujiuzulu lakini kwa jinsi alivyochukia wala hata hakumjibu,'kama ni uhuni nenda kafanye huko barabarani,duniani kote serikali zinaongozwa kwa miiko'R.I.P Mwl.Nyerere
mke wa nini ukifika dom unavua pete.......Cjui ana mke huyu?
Ni vema umeweza kuona mbali ...Mukulu wako roho inaweza kumuuma endapo Ngeleja ata mu sms kwamba mida hiyo ya saa tisa na ushee yupo mahala anakula muzoga..!!!When i learned that mukulu ameukwaa uraisi,mambo mawili yalinijia ghafla..uzinzi na ushirikina..I am just reading my mind!
This is jf.mke wa nini ukifika dom unavua pete.......unaona kitu yenyewe kudadadadadeki.....viva ngeleja kamua kamua...wallahi hapo hata makobosto huvai.....nngwanyuu ngwanyuu![]()
mhhh tuwaache tu hana hatia kama anatumia hela zake za uwaziri,hata yy si anapaswa kula raha jamani? hizi ni private issues bana labda kama angekuwa askofu ndio ningeshangaa.