Waziri Ngeleja aingia club na Aunt Ezekiel usiku wa manane Dom



Wakati nchi nzima haina umeme!
Tanzanians? What is wrong with us? kenya, Uganda, Rwanda hawana mgao, sisi tuna mgao June, ikifika October si tumekwisha!
 
Na mimi nilishawahi kujiuliza hawa viongozi vijana vijana mbona wanajifanya kama "wapo wapo sana". Huwezi kuwaona hata siku moja na wake zao wakiwa public. Kumbe wapo kimawindo zaidi!

Cjui ana mke huyu?
 
Huyu dada nae sasa hata kama ni michezo ka bukta gani kakuvaa kwenye mechi na wabunge. Nae alikuwa kibiashara zaidi! Huyu hana uzuri wowote kuna wazuri zaidi yake wanajisitiri. Yeye anaonekana na mvuto kwa kuwa anavaa nguo za mauzoni. Kila wakati mapaja yako wazi iwe usiku au mchana.
 
Ngeleja Mathia wiliam Maganga kazi na dawa, ponda mali kifo chaja,
umeme unakunyima usingizi, kodi za madini hazikukalishi ofisini, benki vibilioni vinapiga push-up, sasa watanzania wanataka nini kwako, labda roho yako. endelea kuziba masikio na macho, Boss RA kakuweka pazuri achana na watanzania watu wa majungu kila kukicha
 
Ndio maana nchi yetu ni maskini kwa kuwa na viongozi wasiojuwa kutekeleza majukumu yao.
 
Nyumba kubwa ujue kuwa kuna vigezo vya ubora wa mwanamke ukiacha sura ambacho ni kigezo cha kwanza unapotaka kujua ubora wa demu cha pili ni figure au morphology. Lakini kuhusu utamu wa demu kabla hujafika kwenye mashine yenyewe unaweza ukaangalia mapaja au legline. Hilo Aunt analijua na kwa kuwa wasanii wote waliokuwa Dodoma wanamvuto wa sura kwa hiyo aliona aende extra mile kuwazidi wenzie kwa kuonyesha mapaja ya kiukweli. Sasa unabisha shauri yako lakini kwa jinsi mguu wa Aunt ulivyobalance sijutii Mh Nhelleja kuangukia pale, anamfaa
 
Kumbe na Tanzania tuna Wasanii Wa Kimataifa...Nashukuru kulijua hilo
 
wabongo bana...kwani nyie hamjawahi kula bata? kwani ye akila bata we unahusu nini? mwacheni bana amle bata wake nyie niaje?
Kosa mkifanya nyie hamuoni akifanya yeye mineno inawatokaaaa!
 
huo usiku wa manane ulikuwa wapi mkuu? Au umeanza upaparazi. Au ni vile vigazeti vya uchochoroni vya Tshs 200/=?
 
Huyu jimama aunt ez, yuko kwenye mbio za mwenge!
Mara dom, mara kino! Ama kweli kujua uchumi sio lazima uwe na hons ya economics! Ni wewe tu na manispaa yako ya kichwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…