Saa nyingine natamani vitabu vya historia vije kuandika kwamba kati ya mwaka 2005-2015 nchi yetu ya Tanzania ilikua haina raisi. Kwenye nafasi za uraisi, uwaziri mkuu na mawaziri kwenye miaka hiyo tuweke to blank. Hii sasa ni too much.
yani hata kusema kuwa mitihani imeanza vizuri na bado tunaendelea kupata tarifa zaidi takujuza nitafute hata kesho kashindwa dah kiongozi wetu huyu kweli kilaza