Waziri Philip Augustino Mulugo: SIJUI LOLOTE KUHUSIANA NA MITIHANI YA KIDATO CHA SITA INAYOENDELEA

Waziri Philip Augustino Mulugo: SIJUI LOLOTE KUHUSIANA NA MITIHANI YA KIDATO CHA SITA INAYOENDELEA

Kwakweli sijawahi kuona ---- kama huyo Mulugo..Kinachonisikitisha zaidi ni kwamba hatofanywa chochote kile....Tanzania inazidi kufa huku tunaingalia.
 
Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, naibu waziri wa elimu katika serikali JK ametoa mpya ya kufungua mwaka baada ya kuulizwa juu ya maendeleo ya mitihani ya kidato cha sita iliyoanza leo. Alipoulizwa na kituo cha EATV kupitia kipindi cha HOTMIX, waziri huyo mwenye historia ya kutofahamu vyema historia ya nchi yake alitoa jibu kuwa....."Sina taarifa yoyote kuhusiana na kuanza kwa mitihani ya kidato cha sita, kwasasa nipo kwenye kikao cha NEC, labda waulizeni waliopo DSM ofisini. Alipoulizwa zaidi aliendelea kusema mimi sijui kuhsuiana na mitihani ya kidato cha sita. Huyu ndie waziri wa elimu ndugu Mulugo.

Source: Hotmix EATV

It means NEC>ELIMU kwake! Plastic brains.........
 
Kichwani mwake zimejaa kamasi tu,huyo na shukuru ni vilaza wa hali juu mnao,sijui kikwete aliangalia sifa gani kwa kuwachagua hawa,mamlaka ya rais yatatutesa yasipo dhitiwa ktk katiba mpya.

Mambo ya kidato cha sita anayajulia wapi Mulugo? Acheni . Hapa walaumiwe wa Tanzania kwa kuendekeza upole wa kijinga
 
Hii ni kali ya kali zote. Namba za makinda na Ndugai zimewekwa hadharani watu wanawasiliana nao moja kwa moja. Ingekuwa vyema namba za huyu nae zikawekwa wazi huenda akapata msaada wa wananchi. Hata namba ya rais iwe wazi ili watu wampe maoni yao moja kwa moja juu ya utendaji na uwezo wa wasaidizi wake inawezekana hajui wanafanya au kusema nini? Miongoni mwa maajabu yaliyopatikana Tanzania nashangaa kwanini huyu hakuingizwa kuwa moja ya maajabu!
 
Hivi huyu ndiye aliyechanganya habari na kusema visiwa vya Zanzibar na Zimbabwe?
Hakuchanganya, ndivyo anavyoelewa! Alipokwenda Coud FM alijifanya kuasahihisha akasema Tanzania ni muungano wa visiwa vya Pemba, Zanzibar na Tanganyika na akasema hata mtoto mdogo analijua hilo sembuse yeye mwenye digrii ya Uchumi na Historia?
 
Teh teh teh! wadhungu wanasema ''like father, ndo mtoto pia alivyo,sisi buhaya tunasema ''ekitezaile kichweka''..
 
Habari wakuu!

Naibu waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi ndugu Philip Mulugo amesema hajui chochote kuhusiana na mitihani ya kidato cha sita iliyoanza nchini kote leo!

Habari hiyo imetangazwa na EATV kwenye kipindi cha Hotmix, kwa mujibu wa EATV ni kwamba Mulugo alitoa kauli hiyo alipopigiwa simu na kituo hicho kutaka kuelezea suala zima la mitihani hiyo ikiwemo maandalizi!

My take:
Inawezekana vipi Naibu waziri unakuwa hujui mambo yanayoendelea katika wizara yako? Je upo hapo kwa ajili ya nini?

Yupo kwa ajili ya NEC!
 
Oh my God, how could he say that? Sawa, anaweza kuwa kwenye NEC, lakini suala la mitihani ni la muda mrefu ambalo anapaswa kulifahamu. Sasa akisema hajui ni nani anajua? Hahusiki kivipi? This is shocking. Kwa maana hiyo anataka kuaminisha watu kuwa yeye anashughulika na Elimu ya Awali mpaka Kidato cha 4, na mwenzake mhandisi Kawambwa anashughulika na Kidato cha 6 na Higher Education? Kama ni internal arrangement hakupaswa kuisema kwenye public. Shame on him.
:fencing:
 
Anayetaka namba yake ni 0754 31 59 22 :gossip::gossip::whoo:
 
Kwa hili naanza kumwona Mwantumu mahiza msafi huyu mlugo daa
uchafu wa mlugo unamfanya Mwantumu Maiza awe msafi daaa Tanzaniaaa
 
Ngoja atakuja kujitetea, na ni hodari kwa kujitetea yule jamaa.
Hana uwezo wa kujitetea mbali ya kuharibu zaidi. Mimi namshauri akae kimya kama boss wake. Aliposema Tanzania inatokana na muungano wa visiwa vya Pemba, Zimbabwe na Tanganyika mwaka 11964, alirekebisha kwa kusema, Tanzania ni muungano wa visiwa vya Pemba, Zanzibar na Tanganyika! Sasa hapo alirekebisha nini? Kwa akili yake Pemba anaichulia kama ni nchi iliyokuwa inajitegemea na si sehemu ya Zanzibar
 
Ha ha ha ha Nina mashaka na jamaa kama HATA ALIWAHIPITIA JAPO CHEKECHEA!
 
Kwa hili naanza kumwona Mwantumu mahiza msafi huyu mlugo daa
uchafu wa mlugo unamfanya Mwantumu Maiza awe msafi daaa Tanzaniaaa

We acha kabisa kumfananisha ma Sist MWANTUMU na huyo ambae hajitambui!MWANTU ANAUWEZO NA ANAJIAMINI NI MTENDAJI NA MTEKELEZAJI! Si km mzee wa PEMBA NA ZIMBABWE!
 
Back
Top Bottom