unauliza jibuPumba.vuuuu yani yeye kwake NEC ni bora kulko kazi yake ya wizarani
kwa mitindo hiyo sidhani kama hata anajua gazeti lina maana gani.
Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, naibu waziri wa elimu katika serikali JK ametoa mpya ya kufungua mwaka baada ya kuulizwa juu ya maendeleo ya mitihani ya kidato cha sita iliyoanza leo. Alipoulizwa na kituo cha EATV kupitia kipindi cha HOTMIX, waziri huyo mwenye historia ya kutofahamu vyema historia ya nchi yake alitoa jibu kuwa....."Sina taarifa yoyote kuhusiana na kuanza kwa mitihani ya kidato cha sita, kwasasa nipo kwenye kikao cha NEC, labda waulizeni waliopo DSM ofisini. Alipoulizwa zaidi aliendelea kusema mimi sijui kuhsuiana na mitihani ya kidato cha sita. Huyu ndie waziri wa elimu ndugu Mulugo.
Source: Hotmix EATV
Kichwani mwake zimejaa kamasi tu,huyo na shukuru ni vilaza wa hali juu mnao,sijui kikwete aliangalia sifa gani kwa kuwachagua hawa,mamlaka ya rais yatatutesa yasipo dhitiwa ktk katiba mpya.
Hakuchanganya, ndivyo anavyoelewa! Alipokwenda Coud FM alijifanya kuasahihisha akasema Tanzania ni muungano wa visiwa vya Pemba, Zanzibar na Tanganyika na akasema hata mtoto mdogo analijua hilo sembuse yeye mwenye digrii ya Uchumi na Historia?Hivi huyu ndiye aliyechanganya habari na kusema visiwa vya Zanzibar na Zimbabwe?
kwa anayetaka namba hizi hapa!
Hizo ndo namba zake mhe. Wa pemba zimbabwe 0784375922
and
0754315922
philipo mulugo.
Naomba kuwasilisha!
hapokei simu nimepiga mpaka inakaribia kuisha umeme betri yangu.
Habari wakuu!
Naibu waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi ndugu Philip Mulugo amesema hajui chochote kuhusiana na mitihani ya kidato cha sita iliyoanza nchini kote leo!
Habari hiyo imetangazwa na EATV kwenye kipindi cha Hotmix, kwa mujibu wa EATV ni kwamba Mulugo alitoa kauli hiyo alipopigiwa simu na kituo hicho kutaka kuelezea suala zima la mitihani hiyo ikiwemo maandalizi!
My take:
Inawezekana vipi Naibu waziri unakuwa hujui mambo yanayoendelea katika wizara yako? Je upo hapo kwa ajili ya nini?
hapokei simu nimepiga mpaka inakaribia kuisha umeme betri yangu.
Hana uwezo wa kujitetea mbali ya kuharibu zaidi. Mimi namshauri akae kimya kama boss wake. Aliposema Tanzania inatokana na muungano wa visiwa vya Pemba, Zimbabwe na Tanganyika mwaka 11964, alirekebisha kwa kusema, Tanzania ni muungano wa visiwa vya Pemba, Zanzibar na Tanganyika! Sasa hapo alirekebisha nini? Kwa akili yake Pemba anaichulia kama ni nchi iliyokuwa inajitegemea na si sehemu ya ZanzibarNgoja atakuja kujitetea, na ni hodari kwa kujitetea yule jamaa.
Kwa hili naanza kumwona Mwantumu mahiza msafi huyu mlugo daa
uchafu wa mlugo unamfanya Mwantumu Maiza awe msafi daaa Tanzaniaaa