Waziri Philip Augustino Mulugo: SIJUI LOLOTE KUHUSIANA NA MITIHANI YA KIDATO CHA SITA INAYOENDELEA

IBU WAZIRI WA ELIMU PHILIP AUGUSTION MULUGO ATOA KALI NYINGINE NA KUSEMA " HAJUI LOLOTE KUHUSIANA NA MITIHANI YA KIDATO CHCHA SITA INAYOENDELEA"...!!!



Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, naibu waziri wa elimu katika serikali JK ametoa mpya ya kufungua mwaka baada ya kuulizwa juu ya maendeleo ya mitihani ya kidato cha sita iliyoanza leo. Alipoulizwa na kituo cha EATV kupitia kipindi cha HOTMIX, waziri huyo mwenye historia ya kutofahamu vyema historia ya nchi yake alitoa jibu kuwa.....

"Sina taarifa yoyote kuhusiana na kuanza kwa mitihani ya kidato cha sita, kwasasa nipo kwenye kikao cha NEC, labda waulizeni waliopo DSM ofisini. Alipoulizwa zaidi aliendelea kusema mimi sijui kuhsuiana na mitihani ya kidato cha sita. Huyu ndie Naibu waziri wa elimu ndugu Mulugo."


 
HUYU NAYE NI JANGA LINGINE KWA TAIFA,sijui kwa nini rais anatoa nyadhifa kwa watu dhaifu na mbumbumbu kama huyu???WATANZANIA TUCHUKUE HATUA KWANI NCHI YAANGAMIA.
 



Same thing ndio hao hao wa kundi la kutangazia taifa kuwa Watakao CHINJA ni WAISLAMU pekee... huyo ni Mkuu wa MKOA wa MWANZA kujipendekeza kwa Rais Mwislamu lakini wakati Mwanza tulikuwa hatuhitaji huo MWONGOZO; Tuliishi kwa AMANI kati ya WAISLAMU na WAKRISTO na kualikana kwenye MILO na tulijua kama tunaalika MWISLAMU ni nani atachinja

Sasa yaani VIJANA wa KIISLAMU Wamemkata KICHWA Mchungaji wa watu sababu ya kuchinja wanyama???? TUNAKWENDA wapi? KIKWETE alitaka URAIS aivuruge nchi au awape madaraka mke na mwanae NEC CCM???
 
Huyu jamaa ni mkweli sana, aibu hii iende kwa JK mojakwamoja-
.
 
ni kosa la aliyemteua maana anashindwa ku evaluate performance yake kwa kuwa may be wote vichwa vyao vinafanana so haoini kama naibu waziri ni empty headed maana mteuzi naye empty headed!
 
hiv mlugo ana umri gani?NATANGAZA OFA aje aanze std1 kwenye ka shule kangu! "FREE OF CHARGE" toka
DARASA la 1 - KDT cha 4
 
Hahaha huyo ndio bwana Mh Amimu maana mpaka jina kachakuchua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…