Waziri Prof. Palamagamba Kabudi, jitokeze na ulieleze Taifa hii mikopo na misaada ya pesa za kupambana na COVID-19 zimetumika vipi

Huyu alimfanyia fitna kubwa Mahiga (RIP) aondolewe pale, alimwambia jiwe kuwa ile wizara akipata mtu anaejua sheria atasimamia vizuri mikataba ya madini na kuwa Mzee Mahiga hajui sheria anampotezea mapato.
Duh!!!!,Yule jamaa ana roho mbaya km sura yake.Ona sasa mbona yana mshinda!!


Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Na ndio maana Inspekta Polepole ameteuliwa kuwa mbunge ili akahamasishe katiba ibadilishwe, muhula wa urais uwe hauna kikomo bwana mkubwa atutawale milele daima.
 
Reactions: BAK
Waambie mabwana zako kuwa zile pesa zililetwa kufidia atheri zilizosababishwa na corona siyo kutibu Corona kwa maana Corona haina dawa .nakukumbusha athari tulizopata wakati wa corona ni watalii kitokuja,ndege kutoruka,shule kufungwa,baadhi ya Hospitali kutumika kwa corona tu,Pesa hiyo imetumika keep fidia gharama hizo.Pia nakukumbusha kuwa aliyehoji ni mbunge kutoka Ujerumani, kumbuka Tundu Lisu alikimbilia Ubalozi wa Ujerumani ,alisindikizwa na balozi wa Ujerumani mpaka Airport ,Nakukumbusha Chadema inapokea misaada kutoka Chama kinachotawala Ujerumani.Sasa kwa ufupi waliohoji kule ni CHADEMA iliyochangamka wala usiwe na hofu.
 
Mbona unakurupuka kama umefumaniwa. Wewe ndio Palamagamba Kabudi kwani mpaka ujibu hizo hoja?
 
Mbona unakurupuka kama umefumaniwa. Wewe ndio Palamagamba Kabudi kwani mpaka ujibu hizo hoja?
Hakuna mtu aliyeenda kuomba pesa ziletwe ila zililetwa na mashirika ya UN. Na pesa hizo zilikuwa za kupambana na athari za Corona siyo kutibu Corona kwa sababu Corona haina tiba. Nenda uwaambie mabwana zako ujumbe huu
 
Kwani bado kuna Covid 19 nchini. Kama haipo unadhani imeondoka yenyewe hakuna jitihada zilizofanyika eti.
 

Umbe tu harafu iweje/ kwani zilitolewa na mama yako mpaka upewe majibu na serikali?
 
Mimi kama raia wa tanzania, rais na mawaziri ni wafanyakazi wangu, mimi ndio nawalipa mshahara kwa kodi zangu. Shenz
Pesa kutoka Ulaya nayo ni kodi ya mamako? kamuulize babako kamwachia change sh ngapi harafu urudi.
 
Wewe ndio mwajiri wake ? Nani kakupa mamlaka ya kumfundisha kazi ?
 
Lazma kutakua na ufisad na yeye kashiriki si unamuona tu jamaa ana macho ya watu watatu yote anayatumia peke yake
 
Kwahiyo kwa mwaka huu peke yake wamelamba million 300$,na million 27 €!!!!.vipi kuhusu mwaka Jana na juzi,wamelamba ngapi?
 
Zinetumika kuwanunua wakina Halima Mdee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…