Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
kwanza nianze ku-Declare Interest Mimi ni mdau wa Kilimo wa miaka mingi kuanzia Vitunguu na Nyanya Iringa mpaka Mahindi na Maharagwe Kia. Nmekua kwa muda mrefu nikitumia Mbolea zinazotengenezwa ndani ya nchi kwa ajili ya kupandia na Mambo mengine yahusuyo kulima, Tulianza na Mbolea ya mavi ya ng'ombe miaka Ile mpaka hii ya Sasa ya kiwandani nikiwa natumia Yara na Minjingu lkn tokea waziri huyu ameingia amekua akiipigia debe Mbolea ya kampuni moja ya Moroco ambayo hata bei yake ipo juu.
Kuna mkutano kabisa amesikika mpka akizitaja kwa majina na bei yake utazan yeye ndo afisa masoko wa kampuni hiyo. Hizi kampuni ambazo zinazalisha Mbolea hapa nchini kwa bei rahisi na wameajiri watanzania wenzetu zinapata taabu kwenye soko maana wale wahusika wa kampuni hyo ya Moroco wamekua wakiwasikilizisha clip hyo ya waziri. Jana nilikuwa KIA shambani akapita Afisa masoko wa kampuni hiyo akiwa na spika kuuubwa akipiga PA ya sauti ya waziri. Hapa nahisi Kuna hujuma maana baada ya hapo nkampigia Yule anaeniuziaga Mbolea kumuuliza hili swala akaniambia hata yeye hajui.
Naomba waziri ujue unahujumu sisi wakulima kwa kutufanya tununue Mbolea ya bei kubwa wakati zipo za bei rahisi akina minjingu, Baada ya kufuatilia zaidi ndo nkaambiwa mwakilishi wa kampuni hiyo kwa hapa nchini Ni Dr Mshindo Msolla ambae ni mwenyekiti wa Yanga na kabla aliwai kuwa pale wizara ya kilimo hivyo anamtumia waziri kuhujumu washindani wengine.