Waziri Profesa Mkenda, acha kutumika kuua Viwanda vya ndani vya Mbolea

Wananunua Bei gani mahindi ?
 
Moja ya kazi za usalama wa taifa ni kufutilia uhujumu wa namna hii (economic sabotage). Kilimo, na mnyororo wake wa thamani, kinaajiri zaidi ya asilimia 70 ya watanzania. Itasikitisha sana kama itaruhusiwa kuchezea hii sekta kiduwanzi hivyo,
Kuna mwaka Nyerere aliwahi mwamsha waziri usiku akafuatilie bei ya sukari baada ya kupewa Kuna hujuma inataka kufanywa.
 
Kuna mwaka Nyerere aliwahi mwamsha waziri usiku akafuatilie bei ya sukari baada ya kupewa Kuna hujuma inataka kufanywa.
nyerere alishakufa sasa tuko kwenye gari lisilo na dereva waendeshashaji mautingo tu mara mwigulu mara sirro yaani haijulikani nani ni nani kila mmoja kambale ana masharubu
 
Nadhani option inapaswa kuwa kuwahimiza wakulima kuongeza uzalishaji ili kukidhi soko liliopo

Kwenye hizi zama za ubepari kulalamika lalamika hakuna msaada ni bora ujifunze kuwa solution orientated kind of person.

Kwa mfano!
unajua kwamba karibia asilimia 80 ya ngano tunayokula hpa Tanzania inatoka marekani? Na ushaskia marekani wanalalamika ngano imepanda bei sababu ngano nyingi inapelekwa kuuza africa?

Mi nadhani hii ni fursa kubwa kwa wakulima kuongeza uzalishaji maradufu na kujiongezea kipato.
 
Hizo fact zako ukizojifunza darasani za all real numbers hazina msaada kwenye maisha halisi.....hivi unajua kuwa mufindi mfuko wa DAP 50 kg ni 105000 iringa mjini 80000....unalijua Bei ya ya mbegu seedco kilo moja, unalijua Bei ya selective weed killer....mkuu zile point za kwenye mitihani ya geog na agriculture hazina Kaz kwa mkulima...anyway nipo ndan ya halmashauri, leo kilikuwa na kikao Cha wakulima , Hakuna jipya Zaid ya blabla tu na wakuu kupeana posho....Ila mkulima katoka kapa
 
Huna hoja. Unazingua tu. Waziri Mkenda ni akili kubwa,huwezi kumuelewa na hizo minjingu zako.

Wakulima wanajua mbolea zinazowafaa. Hiyo minjingu yako imeshashindikana.
 
Huna hoja. Unazingua tu. Waziri Mkenda ni akili kubwa,huwezi kumuelewa na hizo minjingu zako.

Wakulima wanajua mbolea zinazowafaa. Hiyo minjingu yako imeshashindikana.
Soma kwa hatua ukiwa umetulia huku una maji pembeni ya kunywa utaelewa. wewe sio mkulima huezi elewa madhila yetu.
 
Hueleweki
 
Wanaume mnalialia kila mwaka. Wenzenu Taliban washaondoa huyo ujinga.
 
Mpaka pale watakapoingia shambani ndipo wataelewa unaongelea Nini, hawa watoto waliozaliwa mjini hawajui chochote kuhusu kilimo we waulize Kuna nyimbo ipi mpya au Juma Lokole kafanyaje ndo watakuambia.
 
Hivi unajua Mazingira ya kilimo kwa Tanzania yalivyo na Mlolongo mpk mkulima kupata mazao yake na kuyaweka sokoni, au ulizan Ile unalima tu bustani ya mapapai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…