Waziri Rajab AULA tena! Asogezwa patamu zaidi

Waziri Rajab AULA tena! Asogezwa patamu zaidi

Kuteuliwa balozi , kisha baadaye kuegeshwa wizara ya viwanda na biashara badala ya kupelekwa kituo cha kazi nje ya nchi ???

Maswali je balozi Waziri Rajab amekataliwa na nchi mwenyeji huko nje ? Hadi kuamua kupelekwa ukatibu mkuu wa wizara
Kuna kitu kitakuwa wazi tu.

Sisi tunaangalia tu; we are documenting
 
Waziri Salum anamuumiza kichwa SAMIA
Sana tu. Na anammudu sana Samia
Labda aliomba asikae mbali na nchi yake
Hakuna kuomba; amegomea uteuzi wa kupelekwa kuwa Balozi huko China.

Kumbuka, hata kabla ya uteuzi tulidokeza angeteuliwa kuwa Balozi na kwamba alikuwa anatoa visingizio kibao asiondoke nchini.

Bi Mkubwa kapangwa akapangika. The so called “Mamlaka ya Uteuzi” imepigwa butwaa.

Sasa, wanadhani hatujui kinachoendelea? Dogo akishirikiana na Abdul wanawakoroga kwenye mfumo.

Tutakuja kueleza walichomfanyia Tulia.

Tutakuja kueleza walivyomweka Lukuvi kama ‘kiranja asiye rasmi’ pale Bungeni na anavyowakera wabunge, Spika wao na hata Katibu wa Bunge.

Watu sio wajinga
 
Kuna kitu kitakuwa wazi tu.

Sisi tunaangalia tu; we are documenting

Toka Maktaba :

January 8, 2026
UTEUZI
Samia Suluhu Hassan, amemteua Katibu wa Rais, Waziri Rajab Salum kuwa Balozi. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, viongozi wote walioteuliwa wanatarajiwa kuapishwa tarehe 13 Januari, 2026, Ikulu Chamwino, Dodoma kuanzia saa 8:00 mchana.

1770409824497.jpeg


13 January 2026
UAPISHO
Aliyekuwa Katibu wa Rais, Waziri Rajab Salum akiapishwa na Samia Suluhu Hassan kuwa Balozi.
1770410312278.jpeg

1770410467007.jpeg
 
Tunahitaji katiba mpya ambapo mabalozi wateule watakuwa wanathibitishwa na bunge.
Sasa kwa h system ya rais ndie Mungu, unadhani kuna bunge litampinga rais?
 
TOKA MAKTABA

02 June 2021

DIPLOMASIA USIYOYAJUA KUHUSU KUTEULIWA, KUKATALIWA KWA MABALOZI
Wana diplomasia wanafafanua mengi

View: https://m.youtube.com/watch?v=p5SKDkkMf0o
Mchakato wa kumpata balozi huwa ni mrefu na nchi hufanya mawasiliano na nchi inayotakiwa kumpeleka ili akubaliwe au wakatae au wakae kimya kutojibu pendekezo la kukubali balozi wao mteule kupelekwa ktk nchi husika, hii kidiplomasia ni kukataliwa kiungwana

Aina ya mabalozi Kuwakilisha nchi, Mashirika ya kimataifa... reflection (sura) balozi / sifa,haiba, tabia, elimu ya balozi kufahamu DIME (Diplomacy, Intelligence, Military and Economy), ratiba ya balozi, maslahi ya taifa (national interest) ..

Tofauti ya Career diplomats wanaokulia ktk wizara ya mambo ya nje hadi kuwa balozi na mabalozi wa kisiasa( political diplomats)...

Majukumu ya mheshimiwa sana H.E ni cheo cha juu sana ...
 
Samia anazidiwa akili na maujanja.Salim anamjua Samia vizuri mno.Anajijua akili ya Samia. Inshort Samia anaumia kichwa. Sasa kweli Salim kwa elimu gani anakuwa katibu mkuu mtendaji wa wizara?
Na diplomatic passport plus kinga ya ubalozi kabisa
 
Kutoka kuwa katibu wa Rais na kuwa katibu katika viwanda (Wizara) ameula wapi? Mbaya zaidi mnajua ameteuliwa na nani , na watz wanajua mteuwaji sio mtu wao.

All in all kajamaa kamejaa pesa za kifisadi tu, hamna jipya
Labda kuna deals za Kariakoo mpya
 
Back
Top Bottom