Aramun
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 461
- 2,213
Hii ni moja ya quotes alizowahi kupost Waziri Rajabu ambaye ni Katibu binafsi wa Rais wa JMT.
"Tumeishi maisha ambayo mioyo yetu inapenda sana kusaidia watu ila kwa matukio tuliyo kumbana nayo tukiwa tunasaidia watu yametufunza tusiwe wepesi kusaidia watu na badala yake saidia sana familia yako maana hawa huishia kukuombea dua njema tu na siyo Uadui na Ubaya wa kukumaliza kabisa, KAFANYE WEMA KWENYE VITUO VINAVYOHITAJI WEMA WAKO,Wape msaada Viongozi wa Dini maana hawana mshahara, Nenda kafanye wema mahospitalini maana kuna watu wana shida kubwa ya madawa na hawana uwezo wa kifedha, Katoe sadaka magerezani maana wapo waliotubu kikweli kweli kwa Mungu nenda kawape msaada, Katoe sadaka kwa yatima na wasiojiweza, Katoe sadaka na msaada kwa Wamama na Wadada wanaozunguka kwa kuuza matunda na vibiashara vidogo vidogo mitaani na barabarani kawainue hao na siyo kwa watu unaowaita marafiki au washikaji wanaosubiri wema wako kwaajili ya kukumaliza, Kukunanga au kukuvunjia heshima kabisa.
UKIWAJUA WAWEKE MBALI na wakijaa kwenye mstari malizana nao mapema sana_ tena kwa ukubwa mzito, ADUI HAPIGWI MIGUUNI ANAPIGWA KICHWANI; ADUI anayetokana na WEMA WAKO hatakiwi kusamehewa."