johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema jeshi la polisi haliajiri waliopata divisheni 1 kulingana na majukumu halisi ya askari watarajiwa.
Huwezi kuajiri divisheni one akalinde benki na kucheza gwaride amefafanua waziri.
Chanzo: ITV Dakika 45
Kwa habari kamili fuatilia kipindi
Kwa hiyo timu wazelendo mnatakiwa mwende vilaza kulinda benkiTimu gaidi ngoja waje
Polisi wana vyuo vyao, usisahau hilo!Maana yake jeshi la polisi limeundwa na vilaza.
Siro na vijana wako mpo? Waziri kasema sifa ya kujiunga na jeshi la polisi lazima mtu awe kilaza.
π€£Waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema jeshi la polisi haliajiri waliopata divisheni 1 kulingana na majukumu halisi ya askari watarajiwa.
Huwezi kuajiri divisheni one akalinde benki na kucheza gwaride amefafanua waziri.
Chanzo: ITV Dakika 45
Kwa habari kamili fuatilia kipindi
Haya ni matusi ya wazi kwa polisiWaziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema jeshi la polisi haliajiri waliopata divisheni 1 kulingana na majukumu halisi ya askari watarajiwa.
Huwezi kuajiri divisheni one akalinde benki na kucheza gwaride amefafanua waziri.
Chanzo: ITV Dakika 45
Kwa habari kamili fuatilia kipindi