Waziri Simbachawene, nadhani umeshapata jibu kuwa Jeshi la Polisi siyo "dumping site" ya" failures"

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Nina uhakika unafuatilia kwa makini nini kinaendelea katia kesi ya Mbowe et al na mashaidi wa Jamhuri kutoka jeshi la polisi.

I need not say more kuwa si sahihi kusema polisi hamhitaji div 1 nd 2!

For that matter, what is learned from Police witnesses, si sahihi contention yako kuwa Jeshini ni nguvu na akili kidogo, ie MITULINGA MINGI AKILI KIDOGO , si sahihi!
 
For that matter, what is learned from Police witnesses, si sahihi contention yako kuwa Jeshini ni nguvu na akili kidogo, si sahihi!
Anakuambia sii sahihi Retired. 🏃
 
Wahuni hawa wameshaifanya mahakama kambi ya mazuzu na kitengo cha maccm kama Bunge la Mazuzu walivyoligeuza kuwa kitengo cha maccm.

Nina uhakika unafuatilia kwa makini nini kinaendelea katia kesi ya Mbowe et al na mashaidi wa Jamhuri kutoka jeshi la polisi.

I need not say more kuwa si sahihi kusema polisi hamhitaji div 1 nd 2!

For that matter, what is learned from Police witnesses, si sahihi contention yako kuwa Jeshini ni nguvu na akili kidogo, ie MITULINGA MINGI AKILI KIDOGO , si sahihi!
 
Nina uhakika unafuatilia kwa makini nini kinaendelea katia kesi ya Mbowe et al na mashaidi wa Jamhuri kutoka jeshi la polisi.

I need not say more kuwa si sahihi kusema polisi hamhitaji div 1 nd 2!

For that matter, what is learned from Police witnesses, si sahihi contention yako kuwa Jeshini ni nguvu na akili kidogo, ie MITULINGA MINGI AKILI KIDOGO , si sahihi!
Mama Fukuza huyu Waziri ajali kila siku,mteue Kangi aje kwenye wizara yake ,tufe wangapi ndio mchukue hatua?
 
Kutengeneza muvi siyo kazi nyepesi hata kidogo! Ndiyo maana hata Bongo Muvi wetu wanachemka kutokana na kukosa elimu sahihi ya maigizo.
exactly, bongo movies ni matatizo.... mtu anaibuka Kimanzichana without any formal training eti ni star wa movies...incredible!
 
Nina uhakika unafuatilia kwa makini nini kinaendelea katia kesi ya Mbowe et al na mashaidi wa Jamhuri kutoka jeshi la polisi.

I need not say more kuwa si sahihi kusema polisi hamhitaji div 1 nd 2!

For that matter, what is learned from Police witnesses, si sahihi contention yako kuwa Jeshini ni nguvu na akili kidogo, ie MITULINGA MINGI AKILI KIDOGO , si sahihi!

Huyu ndiye mwamba mwenyewe wa mambo ya terrorism na report yake:

IMG_20211029_201520_838.jpg

Pitia report kuona. Wako wapi kina Ibambasi, Wakudadavuwa, johnthebaptist, Jumbe Brown na binamu zao? Kuna mwenzenu hapa:

IMG_20211029_201139_121.jpg

Hii case hadi iishe Sirro asipoomba kujiuzulu mwenyewe, atakuwa na matatizo yenye kuhitaji tiba mirembe.
 
Back
Top Bottom