Waziri Simbachawene, nadhani umeshapata jibu kuwa Jeshi la Polisi siyo "dumping site" ya" failures"

Kulikuwa na mashindano ya kuongea kiingereza kwani?!!!
 
Ukiona shahidi anaanza kwa CV ya kuunga unga masaa mawili jua hamna kitu hapo anasema alienda kusomea Botswana sijui wala hata asemi ilikua level gani au cheti gani ujanja ujanja tuu...
 
Terrorism ni ugaidi, Terrorist ni Gaidi.
Wewe ndio wasema. Ila shahidi Afande Hafidhi yeye kasema na kuamini nilichosema mimi ambacho ni kinyume na hiki usemacho.
 
Sikio la kufa hawezi kuelewa. Ajira za polisi zinatolewa kama huruma kwa waliofeli ili baadae wawatumie watakavyo.
 
Ufinyu wao wa akili ndio unaofanya wakubali kutumiwa kwenye kazi za shetani mwishowe wanaaibika kwa ujinga wao.
Kwa mujibu wa katiba chakavu,jukumu la police ni kutii maagizo toka juu usipotii outpost porini au nje ya mji kuna kuhusu au kupigwa chini job.
 
Msamiati huo afrika haupo.
Hakuna kujiuzulu labda ufukuzwe.
Na kama unaitendea haki ccm sahau kufukuzwa

Nakubaliana nawe mkuu ila mwishoni kulikuwa na ushauri wa bure kuwahi yeye mwenyewe mirembe😁😁
 
Nakubaliana nawe mkuu ila mwishoni kulikuwa na ushauri wa bure kuwahi yeye mwenyewe mirembe😁😁
Nani anaweza Acha kiti aache pesa,kujiuzulu ni msamiati wa watu weupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…