Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ukitaka kuamini unachosema Mkuu wape interview,hutoona tofauti yoyote ya maana baina ya anaejitolea na ambae hajitolei ndo maana wakiskia interview wanalia Lia......kibaya zaidi hizo nafasi zenyewe za kujitolea juwa wanapata kimagumashi isipokuwa kwa wachache sanaWalimu wa kujitolea ni sawa na "tegesha"wapo pale kusubiri huruma katika ajira. Ndio hao wanaolalamika humu. Hongera Mh. Waziri ajira ni haki ya kila muombaji na sio kikundi cha tegesha pekee.
. Kujitolea ni ujinga wako mwenyewe,View attachment 3199373
Chanzo: mtandaoni
George Simbachawere ni dharau kwa spika au maamuzi yako?
Kuna vijana wamejitolea kwenye shule za serikali zaidi ya miaka 3 hadi 4. Spika aliomba kufanyike utafiti ili wawe kipaumbele lakini kwa kauli yako bungeni ulisema zoezi lina changamoto.
Kwangu hapana. Kwani kuna baadhi ya shule zimekuwa zikwalipa pesa kidgo kama nauli kupitia account zao jambo ambalo linaweza kutumia kama kukusanya taarifa.
Kupitia mikoa na wilaya viongozi wangeweza kusimamia zoezi hili ila kwangu naona ni ukaidi wa wizara.
Serikali iwe na huruma kwa vijana walijitoa kwa muda mwingi 🥺
Pia suala hili la usaili ni kuumiza vijana kihisia na kwangu naona kama suala gumu sana.😪
Naona bora serikali iendelee na sandakawale tu kuliko huu utaratibu.
Mtu kamaliza chuo 2015 mpaka saivi hola, unategemea mtu huyo awe anajitolea tuu ili apewe kipaumbele cha ajira?View attachment 3199373
Chanzo: mtandaoni
George Simbachawere ni dharau kwa spika au maamuzi yako?
Kuna vijana wamejitolea kwenye shule za serikali zaidi ya miaka 3 hadi 4. Spika aliomba kufanyike utafiti ili wawe kipaumbele lakini kwa kauli yako bungeni ulisema zoezi lina changamoto.
Kwangu hapana. Kwani kuna baadhi ya shule zimekuwa zikwalipa pesa kidgo kama nauli kupitia account zao jambo ambalo linaweza kutumia kama kukusanya taarifa.
Kupitia mikoa na wilaya viongozi wangeweza kusimamia zoezi hili ila kwangu naona ni ukaidi wa wizara.
Serikali iwe na huruma kwa vijana walijitoa kwa muda mwingi [emoji3064]
Pia suala hili la usaili ni kuumiza vijana kihisia na kwangu naona kama suala gumu sana.[emoji25]
Naona bora serikali iendelee na sandakawale tu kuliko huu utaratibu.
Yeah!...huo ndio ukweliKifupi ni kwamba ajira ni haba
Nimeona unene wa mawazo yako.Mhitimu aliyejitolea maana yake.....
1. Ameonyesha uwezo wake wa kuwajibika kwa vitendo.
2. Ametengeneza uzoefu katika kazi aliyoisomea.
3. Umetoa mchango mkubwa katika pato la taifa na ujenzi wa taifa.
Litakuwa jambo la ajabu na jambo la kipumbavu mnoo kama taasisi husika (serikali, shirika au kampuni) itakwepa kumpa kipaumbele mhitimu huyo wakati wa ajira.
Ha ha haHao tegesha ni muhimu zaidi Kwa Nchi kuliko nyie waviziaji msio na Msaada Kwa Nchi.
Shule za kata zisizo na walimu zinategemea hao tegesha,nyie wahuni mnaosubiria Ajira Kwa nini muajiriwe?
Na huyo Waziri mjinga,huko kwake porini Kongwa kutatumika kama daraja la watu kama.wewe.kupata kazi na kuhama,hapo ndio atakuwa ni mjinga,angekuwa anaongea hivi akiwa Waziri wa Jimbo la mjini ningemwelewa.ila huko maporoni Kibakwe gen Z yupi ataenda Kukaa zaidi ya wanojitolew huko?
Siandike kutafuta huruma bali uhalisia wa mamboUnajitolea kwenye taasisi kama nani?
Sio jukumu lako kutoa msaada wa kufundisha ni jukumu la serikali kuhakikisha inatoa elimu bora kwa kuajiri raslimali watu.
Kama msomi bado unadanganywa hivyo basi hata Elimu yako haijakusaidia. WFK
Kabisa aiseerobbyr Dunia ya leo ni yakibepari "hatuna huruma kwenye ubapari" hao ni wanasiasa wanataka kukutumia tu ili kikidhi mahitaji yao hakuna kingine.
Unajitolea unalipwa laki 1 utaishije kwa pesa kama hiyo? Huo ni zaidi ya utumwa mkuu.
Vijana tuacheni siasa nyepesi tujitoe tupambane kivyovyote vile kujitoa kwenye umasikini. Tukitegema hawa wanasiasa walioshiba mipesa tutakufa kibudu.
Hii hoja ni dhaifu sana na ikienda mbali zaidi kwenye taasisi nyingine za serikali italeta undugu kwenye ajira.View attachment 3199373