Waziri Simbachawene, Zitto akamatwe na kulisaidia jeshi la polisi kumpata kijana aliyempa taarifa kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake

Zito yeye hana haja ya kufungua kesi dhidi ya huyo kijana ila..... alichokifanya jpm na genge lake lafaa kuangaliwa upya kwa utaratibu mzuri... make aliwaumiza wengi sana kwa uzandiki wake...
 
Kama aliweza kusema wafungwa wawe wanapigwa mateke na wafanyishwe kazi ngumu Kweli kweli,Mara mashangazi wapigwe.

Siwezi kushangaa hata hayo mengine wanayosema aliyafanya.
Yule kiumbe alikuwa "skrubu-mlegezo"!😂😂😂😂
 
Hamisha magoli....wajinga tunahama mjadala.......
 
Kwa nini kama ana taarifa akamatwe au ukiwa na taarifa za uhalifu mpaka ukamatwe? Kama hivyo ndivyo, nani yuko tayari kukamatwa ili atoe taarifa? Kama anaona inatakiwa angesema 'Zitto awasaidie polisi kupata taarifa kuhusu kuchoma shamba lake'.
Inaonyesha bado kuna watu walipenda sana kuonea wenzao na kuzipa familia nyingi majonzi kwa sababu tu ya baadhi ya watu kuongea vitu visivyowapendeza wao.
 
Mkuu mbona makasiriko sana au kwa vile alikufukuza kazi yako ya askari magereza
Yule jamaa wa Butimba ambaye natumia picha yake kama avatar hakufukuzwa bali alihamishiwa Ukerewe. To put records right
 
Jenga hoja acha matusi ya eti "pumba" vitendo vya kuharibu mali za wapinzani yakiwemo mauaji vilishamiri kwa uwazi kipindi hicho cha Jpm, na polisi walikuwa wakitaarifiwa bila kuchukua hatua stahiki,

Iweje leo utudanganye kuwa hii ni hoja mpya iliyoibuliwa kwamba sasa polisi waanze kumsaka Zitto. Je wewe ulikuwa wapi siku zile lilipotokea jambo hilo mbona ilisikika na kuvuma pande zote kuwa kuna watu wanatumwa na "system" kuwadhoofisha wapinzani wa Jpm. Hapa jenga hoja usikimbilie kutukana.
 
Of course Mtawala aliyenyamazia unyama wote wakati alikuwa na mamlaka ya kuchukua hatua anapaswa kuhusishwa na huo unyama!
 
Kuna chuki za aina ngapi kwani?

Nitaandika kuhusu uhalifu wa Magufuli hadi siku yangu ya mwisho ya kupumua. Yaani yule muuaji na mwizi ndiyo mnalazimisha aonekane katenda mema ya ajabu Tanzania. HAPANA
🤫🖕
 
Upinzani wa Tanzania ni aibu kubwa sana, wako busy na mambo kijinga jinga mengi, wabunge wazima wana shindana kutrend kama wasanii wa bongo movie. Upinzani hauna agenda zaidi ya kushinda online wakisema uongo.
 
Hakuanza kusema leo kuhusu mali zake kuchomwa au kuharibiwa.

Ila sawa naona watampa ya Mbowe atulie huko kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…