Waziri Sophia Simba - Mwenyekiti Mpya UW-CCM (Taifa)

Waziri Sophia Simba - Mwenyekiti Mpya UW-CCM (Taifa)

Najua leo Dodoma Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) wanachagua Mwenyekiti wao. Napenda wale wenye kunusa huko watupe updates iwapo Sophia Simba amtamshinda Hasimu wake mama Kahama...

- Mkuu Ushi, heshima mbele sana ngoja tuingie kwenye post kutafuta dataz ya yaliyojiri huko kwenye uchaguzi.
 
Nilitegemea jumuia za ccm ndio ziwe "Think tank" na "human inventory" za chama. Nilitegemea watu kama scolastica Kimario (UNDP rep SA) au Dr. Maria Njelekela (mewata) ndo wangepewa hatamu za UWT. sasa hawa wanaotembea na shumiz kwenye pochi sidhani kama wanamsaada wowote. Ndomaana hakuna Tv coverage manake hawakawii kusasambua.
 
Unatumia vigezo gani hao kupewa uongozi UWT, kwani zile nafasi ni za kuteuliwa?, ni nafasi za kugombea. Nao walikuwa na nafasi kuchukua fomu za kugombea kama ni wanachama wa CCM.
 
- The dataz za sasa ni kwamba matokeo jumla bado kusemwa, wala kujulikana lakini so far Sophia yuko mbele kwa kura, na upepo so far unaonyesha dalili za yeye kushinda.

lakini narudia kuwa bado ujumla kusemwa au kujulikana hata huko ndani, lakini kama kawa tupo ontop, soon tutarudi tena na more dataz!
 
katika jumuia za ccm hakuna mazingira mazuri ya kupata viongozi waliobora, unadhani watu kama scolastica au prof.Tibaijuka atavumilia siasa za UWT! kwanini watu kama Dr.Batilda Buriani au Dr.Mrisho hawakuwania uongozi? unafikiri hawautaki! hawataki kebehi za kipuuzi.

UWT sidhani wana kichwa kama Halima Mdee. kama kipo tutajie!
 
I can confirm kuwa SOFIA SIMBA kashinda pamoja na Janet Kahama kutumia zaidi ya dola milioni 2 lakini looks like fitna ya Sofia ilikuwa si mchezo...

Anyway kuja jambo lilitokea mle ndani na ni kosa la wasimamizi wa Janet ambalo atakuja kulijutia sana

ES hebu nicheki
 
- Uchaguzi bado kitendawili, mafisadi kama kawaida wako upande wa Sophia, kwa mara ya kwanza wamelazimika kujificha sana ili wasijulikane wako upande upi, ingawa matokeo ya jumla bado ni kitendawili lakini kuna dalili za Sophia kushinda.
 
I can confirm kuwa SOFIA SIMBA kashinda pamoja na Janet Kahama kutumia zaidi ya dola milioni 2 lakini looks like fitna ya Sofia ilikuwa si mchezo...

Anyway kuja jambo lilitokea mle ndani na ni kosa la wasimamizi wa Janet ambalo atakuja kulijutia sana

US$2Million? yaani kwa ajili tu ya kuwa mwenyekiti wa UWT, amezipata wapi hizo pesa karibu Billion 2 za Tshs.
 
Uchaguzi wa mwenyekiti umekwisha, na SK ndio mshindi, JK inaelekea alizidiwa kete mle ndani na kinachoendelea ni kusutana wale waliohama kambi hawajui sura zao watazipeleka wapi
 
Uchaguzi wa mwenyekiti umekwisha, na SK ndio mshindi, JK inaelekea alizidiwa kete mle ndani na kinachoendelea ni kusutana wale waliohama kambi hawajui sura zao watazipeleka wapi

Heshima Mbele GM.

Mbona umetuacha hapo? Nani ni SK? Je mombea mwingine zaidi ya Sofia Simba pamoja na Janeth Kahama? Naomba utuweke sawa hapo!
 
- Mkuu Shadow heshima mbele Gt ana maana Sophia ndiye aliyeshinda, kwa sasa chaguzi zingine ndio zinaendelea lakini ya uwt bado kitendawili, makundi yote mawili yanadai ushindi.

- Ninaamini one thing kwamba Mama Janet, yuko kwenye maji ya shingo maana angekua mshindi tungeshajua, sasa naona wakulu karibu wote wa upande wake wamezima simu sio dalili njema kwa huyu mgombea, so far ni wapambe wa Sohpia ndio wanaotesa.
 
...hivi jumuiya kama hizi zina faida gani kwa nchi? kwanini wasijiite jumuiya ya wanawake wa CCM kuliko Tanzania,zinaonekana ni jumuiya za kukuza mafisadi tuu
 
- Mkuu Shadow heshima mbele Gt ana maana Sophia ndiye aliyeshinda, kwa sasa chaguzi zingine ndio zinaendelea lakini ya uwt bado kitendawili, makundi yote mawili yanadai ushindi.

- Ninaamini one thing kwamba Mama Janet, yuko kwenye maji ya shingo maana angekua mshindi tungeshajua, sasa naona wakulu karibu wote wa upande wake wamezima simu sio dalili njema kwa huyu mgombea, so far ni wapambe wa Sohpia ndio wanaotesa.

Kuna watu tunakusubilia utueleze, jitaidi mkuu kupata taarifa ili tujue.
 
- Mkuu Shadow heshima mbele Gt ana maana Sophia ndiye aliyeshinda, kwa sasa chaguzi zingine ndio zinaendelea lakini ya uwt bado kitendawili, makundi yote mawili yanadai ushindi.

- Ninaamini one thing kwamba Mama Janet, yuko kwenye maji ya shingo maana angekua mshindi tungeshajua, sasa naona wakulu karibu wote wa upande wake wamezima simu sio dalili njema kwa huyu mgombea, so far ni wapambe wa Sohpia ndio wanaotesa.

Heshima mble FMES, asante kwa kutupasha hizo habari za Uchaguzi wa UWT.

Ila kazi kweli kweli. nimefuatilia mlolongo wa habari hii naona demokrasia ina safari ndefu kuja kuota mizizi Tanzania. Yani kama mambo ndo yalivyojiri humo ndani ya UWT, faulo za ajabu ajabu na 'vijisenti kibao' kutumika. Swali: wale wanaofanya money laundering si ni rahisi kuwanunua hawa 'viongozi wetu' hasa nyakati hizi za chaguzi? Je tuna mamlaka ambayo usimamia pesa za mgombea kujua vyanzo vya pesa vya mgombea huyo na natumiaje hizo pesa?

Sina maana ya kutoka nje ya mada najaribu kutafakari hali hii.
 
uwt.gif

Eh...!​
 
- Unajua ndio maana nilisema mapema sana kwamba wote wagombea wawili walitakiwa kuondolewa, yaliyojiri kwenye huu uchaguzi ni aibu kubwa sana kwa taifa letu, mapesa ni mengi mno yaliyotumika kwa sababu ya uwt tu? Na haya mapesa yametolewa na wagombea wote wawili sio siri! Tena Mama Janet ndiye ametumia hela nyingi mno shame kwa wote wawili, lakini zaidi kwa Mama Janet shame on you!

- Yaani uenyekiti wa Umoja wa wanawake ambao zamani hata hatukujua kama huwa unagombewa maana mimi nilidhani Mama Sophia Kawawa ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa kudumu, sasa all over sudden imekua patashika mpaka wakuu wa taifa kuhusika, kulikoni? Haya mapesa kina Sophia na Mama Janet ya kutupa namna hii wanayatoa wapi? Ninasema hivi hizi hela za kumwaga namna hii kama karanga wanatoa wapi?

Hawa wagombea wote wawili dawa ni kuwafukuza CCM, na kuburuza Kisutu, I mean Sophia waziri wa usalama? Usalama gani huu? Huyu ndiye aliyeshangaa kwamba mzee wa vijisenti ana dola millioni moja benki huko USA? Aibu sana, ndio maana matokeo yanakuwa magumu kuyasema wazi maana inaonekana hata wasimamizi wamekula hela nyingi sana hapa sasa wanapata kigugumizi, Kamati Kuu ya CCM ni lazima iamrishe huu uchaguzi kurudiwa na kuwaondoa wagombea hawa wawili wasiruhusiwe tena kugombea nafasi yoyote katika taifa letu!

- Wakuu wangu bado habari za huko ndani ni utatanishi mtupu, lakini in some few hours tutapata ukweli wote!
 
Hivi bado kuna watu wana imani kuwa uchaguzi wowote ndani ya CCM unaweza kuendeshwa kwa haki bila rushwa wakati chenyewe kiko madarakani kwa rushwa !! Believe this and you will believe anything !!
 
- Yaani uenyekiti wa Umoja wa wanawake ambao zamani hata hatukujua kama huwa unagombewa maana mimi nilidhani Mama Sophia Kawawa ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa kudumu, sasa all over sudden imekua patashika mpaka wakuu wa taifa kuhusika, kulikoni? [/U]

Mkuu FMES umenikuna sana kwa hili infwakti hata mimi nilijua hivyo, nimeshangazwa sana eti kuna kampeni ya mtu kuwa mwenyekiti UWT........... Bado nacheka nikisoma post yako. Ni mambo ya aibu............ waziri anayesimamia uwt nyingine anatoa rushwa kama karanga. Hv huo uenyekiti UWT ni zadi ya uwaziri???????
 
Back
Top Bottom