William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Najua leo Dodoma Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) wanachagua Mwenyekiti wao. Napenda wale wenye kunusa huko watupe updates iwapo Sophia Simba amtamshinda Hasimu wake mama Kahama...
Nilitegemea jumuia za ccm ndio ziwe "Think tank" na "human inventory" za chama. Nilitegemea watu kama scolastica Kimario (UNDP rep SA) au Dr. Maria Njelekela (mewata) ndo wangepewa hatamu za UWT. sasa hawa wanaotembea na shumiz kwenye pochi sidhani kama wanamsaada wowote. Ndomaana hakuna Tv coverage manake hawakawii kusasambua.
I can confirm kuwa SOFIA SIMBA kashinda pamoja na Janet Kahama kutumia zaidi ya dola milioni 2 lakini looks like fitna ya Sofia ilikuwa si mchezo...
Anyway kuja jambo lilitokea mle ndani na ni kosa la wasimamizi wa Janet ambalo atakuja kulijutia sana
US$2Million? yaani kwa ajili tu ya kuwa mwenyekiti wa UWT, amezipata wapi hizo pesa karibu Billion 2 za Tshs.
Uchaguzi wa mwenyekiti umekwisha, na SK ndio mshindi, JK inaelekea alizidiwa kete mle ndani na kinachoendelea ni kusutana wale waliohama kambi hawajui sura zao watazipeleka wapi
- Mkuu Shadow heshima mbele Gt ana maana Sophia ndiye aliyeshinda, kwa sasa chaguzi zingine ndio zinaendelea lakini ya uwt bado kitendawili, makundi yote mawili yanadai ushindi.
- Ninaamini one thing kwamba Mama Janet, yuko kwenye maji ya shingo maana angekua mshindi tungeshajua, sasa naona wakulu karibu wote wa upande wake wamezima simu sio dalili njema kwa huyu mgombea, so far ni wapambe wa Sohpia ndio wanaotesa.

- Mkuu Ushi, heshima mbele sana ngoja tuingie kwenye post kutafuta dataz ya yaliyojiri huko kwenye uchaguzi.
- Yaani uenyekiti wa Umoja wa wanawake ambao zamani hata hatukujua kama huwa unagombewa maana mimi nilidhani Mama Sophia Kawawa ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa kudumu, sasa all over sudden imekua patashika mpaka wakuu wa taifa kuhusika, kulikoni? [/U]