Waziri TAMISEMI abadili kanuni katika mchakato wa vyama kuteua Wagombea

Waziri TAMISEMI abadili kanuni katika mchakato wa vyama kuteua Wagombea

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
17 October 2024
JOHN MNYIKA - WAZIRI WA TAMISEMI ATOA WARAKA MPYA KATIKATI YA MCHAKATO AMBAO ULISHAANZA NDANI YA VYAMA, HII NI MBINU NYINGINE ...

View: https://m.youtube.com/watch?v=BeuXJmbVxUA&pp=ygUJSmFtYm8gdHYg
Katibu mkuu wa CHADEMA kamanda John John Mnyika aelezea kubadilika kwa muda na kanuni za kuteua wagombea uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 alizozianda waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa

Mabadiliko hayo makubwa ya kikanuni yana nia ovu kutoka kwa waziri mwenye maslahi mgongano ya kuhakikisha chama chake chama dola kongwe CCM kinafaidika na mabadiliko katika ya zoezi ambalo likishaanza na kuna uwezekano wa kanuni zingine mpya kutolewa na waziri wa CCM pale wanapoona ...
 
Je Waziri anayo mamlaka hiyo? kwamba akiamka tu kutoka usingizini au akishapiga bia zake aamue tu atajavyo!
MMEANDIKISHA WAPIGA KURA ? AU MNATAKA MJE MSEME MMEIBIWA WAKATI HAMTAKI KUANDIUKISHA WAOIGA KURA
 
Bado tamko la wanajeshi na familia zao kuwa na vituo vya kupiga kura makambini

Wao pia ni raia wana haki ya kupiga kura kama raia wengine wao na familia zao walipo

Tamisemi isiwanyime hiyo fursa ni uonezi na kinyume cha katiba kuwa wanastahili kupiga kura
 
Ni kama katika ya mechi ya mpira sheria na kanuni mpya ziingizwe huku timu moja tayari ilisha penyezewa taarifa hizo mapema.
 
Inachosha sana kushauri watu wasio penda kushauriwa.

Acha twende hivyo hivyo, kuna siku tutauvuka tu huu mto wenye mafuriko ya CCM kwa njia zozote zitakazo wezekekana wakati huo.
 
Hawa jamaa wako dar nimeenda Kijiji kujiandikisha Kijiji Kuna vituo 4 Kuna mawakala wa ccm tuu
 
MMEANDIKISHA WAPIGA KURA ? AU MNATAKA MJE MSEME MMEIBIWA WAKATI HAMTAKI KUANDIUKISHA WAOIGA KURA
Hivi Chadema kweli ipo?
Huku kwetu tulishaisahau.
Juzi kati waliitisha mkutano wa hadhara. Kata nzima tena ya mjini hawakuzidi 13.
Piiipooooziiiii!! Kwishiney
 
16 October 2024
Mahakama Kuu ya
Tanzania,
Kivukoni Front
Dar es Salaam

#JAMBOTVSAA 10 ZA MOTO KESI YA KUPINGA TAMISEMI KUSIMAMIA UCHAGUZI, KIONGOZI ACT AJITOKEZA...........

View: https://m.youtube.com/watch?v=tEokw-aAul8
Bob Chacha Wangwe & 2 Others v. The Minister, Presidents Office Regional, Administration and Local Government & Another (Misc. Civil Cause No. 19721 of 2024) [2024] TZHC 7938 (9 September 2024)


IN THE HIGH COURT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
(DAR ES SALAAM SUB-REGISTRY)
AT PAR ES SALAAM
MISCELLANEOUS CIVIL CAUSE NO. 19721 OF 2024
IN THE MATTER OF AN APPLICATION FOR LEAVE TO APPLY FOR ORDERS OF CERTIORI
AND PROHIBITION
AND
IN THE MATTER OF LAW REFORM (FATAL ACCIDENTS AND MISCELLANEOUS
PROVISIONS) ACT [CAP 310 R.E. 2019]
AND
IN THE MATTER OF LAW REFORM (FATAL ACCIDENTS AND MISCELLANEOUS
PROVISIONS) (JUDICIAL REVIEW PROCEDURE AND RULES), GN NO. 324 OF 2014
AND
IN THE MATTER OF SHERIA YA TUME HURU YA UCHAGUZI, 2024
AND
IN THE MATTER OF ELECTIONS OF THE LOCAL GOVERNMENT ELECTIONS IN TANZANIA,
2024
BETWEEN
BOB CHACHA WANGWE..................................................................................................1st APPLICANT
BUBELWA KAIZA...............................................................................................................2"“ APPLICANT
DR. ANANILEA NKYA.......................................................................................................3*° APPLICANT
VERSUS
THE MINISTER, PRESIDENT S OFFICE REGIONAL ADMINISTRATION
AND LOCAL GOVERNMENT.........................................................................................1st RESPONDENT
THE ATTORNEY GENERAL
OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA..........................................................2nd RESPONDENT
RULING
2“ & 9tr Sept. 2024
DYANSOBERA, J.:
In this application, the three applicants are seeking leave to apply for prerogative
orders of certiorari and prohibition against the two respondents herein so as...


READ MORE :
 
September 9 , 2024
Kiini cha kesi wananchi kupinga TAMISEMI kusimamia uchaguzi 2024


View: https://m.youtube.com/watch?v=OSocEJ4pF_0

HABARI: Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam imekubaliana na hoja zilizowasilishwa na wananchi watatu ambao ni Bob Chacha Wangwe, Bubelwa Kaiza na Dk. Ananilea Nkya na kuruhusu kibali cha TAMISEMI kushtakiwa na kupingwa kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa.​

Kufuatia maamuzi hayo pia Mahakama Kuu imekataa kusimamisha mchakato wa shughuli zinazoendelea za uchaguzi wa serikali za mitaa​

 
September 9 , 2024
Kiini cha kesi wananchi kupinga TAMISEMI kusimamia uchaguzi 2024


View: https://m.youtube.com/watch?v=OSocEJ4pF_0

HABARI: Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam imekubaliana na hoja zilizowasilishwa na wananchi watatu ambao ni Bob Chacha Wangwe, Bubelwa Kaiza na Dk. Ananilea Nkya na kuruhusu kibali cha TAMISEMI kushtakiwa na kupingwa kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa.​

Kufuatia maamuzi hayo pia Mahakama Kuu imekataa kusimamisha mchakato wa shughuli zinazoendelea za uchaguzi wa serikali za mitaa​



09 September 2024

  • Tanzania 2024 / 2025 elections

High Court Allows PO-RALG to be Challenged on Managing Tanzania Civic Elections​

The High Court, Dar es Salaam Sub-Registry, has approved the application of three citizens to file a judicial review case aiming to challenge the 2024 local government election process.

However, the court rejected the application for an injunction to halt the ongoing election process under the 2024 regulations, which were enacted by the Minister of State, President’s Office for Regional Administration and Local Government (PO-RALG/TAMISEMI).

This decision, delivered on Monday, September 9, 2024, by Judge Wilfred Dyansobera, stems from case number 19721/2024, filed by three citizens—Constitutional Forum (Jukata) Director Bob Wangwe, Jukata Chairperson Ananilea Nkya, and Buberwa Kaiza.

They sought permission to open a judicial review case to challenge the 2024 local government election regulations and requested that the Independent Electoral Commission (INEC) oversee the election in accordance with the 2024 Independent Electoral Commission Act.

However, the respondents, the Minister of TAMISEMI and the Attorney General, filed objections to the application, asking the court to dismiss it, citing legal deficiencies and raising four key points of objection.

In delivering the ruling on the objections, Judge Dyansobera agreed with the applicants’ arguments that the objections lacked legal merit and rejected the respondents’ claims. He dismissed all the points raised by the respondents, stating that they were not legally sound.

Nevertheless, the respondents’ legal team, led by the Solicitor General Mark Mulwambo and supported by Chief State Attorney Hangi Chang’a, Senior State Attorney Erighi Rumisha, and State Attorneys including Ayoub Sanga, opposed the application.

On the other hand, Judge Dyansobera rejected the application to suspend the implementation of the regulations issued by the Minister of TAMISEMI, stating that the request was not among the remedies sought by the applicants in the court documents they submitted. After reading the applicants’ affidavit and statement, the judge noted that the request to halt the implementation of the regulations was not part of their reliefs.

Speaking about the ruling, Chief State Attorney Deodatus Nyoni stated that they respect the decision and noted that the positive aspect is that the election process has not been halted as requested by the applicants’ lawyers. He mentioned that they are now awaiting the next stage of the judicial review case to be presented by the applicants.

“When you look at the situation, the application to halt the election process was not part of their primary request for permission that they brought to court,” said Nyoni. “So, our colleagues saw this as a fundamental part that could halt the election process.”

Jebra Kambole, speaking on the victory they achieved in court, expressed that although they still face some challenges, they have made progress.

“We see this case as important, and although we feel a bit delayed due to the government’s objections, we are fortunate that the court, after reviewing the objections, found them to lack merit and dismissed them,” said Kambole.

Ananilea Nkya, one of the applicants, a retired journalist and activist, said they filed the case on behalf of Tanzanian citizens. She emphasized that, according to the Constitution, Article 8, citizens are granted the authority to ensure election activities are supervised by the people.

“I want to tell Tanzanians that we stood on behalf of the people of Tanzania because, according to the Constitution, Article 8, we have been given the authority to ensure election activities are conducted by us to ensure that the elections are carried out with integrity to produce good leadership,” Nkya said while celebrating the court victory.
Source : The Chanzo
 
25 October 2024
Mahakama Kuu
Kivukoni Front
Dar es Salaam, Tanzania

JAJI ASOGEZA HUKUMU DHIDI YA WAZIRI OFISI YA RAIS TAWALA WA MIKOA NA SERIKALI MITAA HADI OCTOBER 28 2024


View: https://m.youtube.com/watch?v=dkniXOTjcCA

Mahakama Kuu ya Tanzania masjala ndogo ya Dar es salaam leo Oktoba 25, 2024 ilitarajiwa kutoa hukumu kwenye kesi ya kupinga Waziri wa TAMISEMI kusimamia mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji ..

Ambapo raia watu Dr. Annanilea Nkya mwanaharakati nguli, Buberwa Kaiza mwandishi wa habari mkongwe na Bob Wangwe wakili wa kujitegemea wamefungua kesi hiyo ya kihistoria kwa niaba ya wananchi wa Tanzania ..
 
Back
Top Bottom