WAZIRI UDOM COed ANAJIITA USALAMA WA TAIFA ATATUMALIZA.

DIE FOR UDOM

New Member
Joined
Jun 2, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Nivema tukachukua muda huu tena kujaili suala hili ambalo sasa limekuwa kero hapa UDOM. kuna kiongozi mmoja wa serikari ya wanafunzi UDOSO Ed mekuwa akifanya mambo ambayo ni kinyume na sheria za nchi na chuo. Kiongozi huyu ambaye ni waziri wa ulinzi kwa jina MARIJANI.
....amekuwa akijichukulia sheria mkononi kwa kuwaadhibu wanafunzi hasa wa mwaka wa kwanza kwa kuwapiga mateke,ngumi,vifua,visiginonk. Swali najiuliza MARIJANI ni nani mpaka akaendelea kuwepo chuoni hadi sasa? kuna wanafunzi ambao wamefukuzwa chuo kwa kosa kama lake MRIJANI mbona hafukuzwi?Huyu bwana amekuwa akisema yeye ni usalama wa taifa.t Taifa gani hilo ambalo Marijani analitumikia? wakati mwingine husema yeye ni askari askari wa nchi gani huyu ambaye hajali utawala wa sheria?.Raisi wa serikali ya wanfunzi hili suala lipo ndani ya uwezo wako kwani kosa la marijani ni kosa la jinai na sheria za wanafunzi STUDENT BYLAW zipo wazi kwa mtu mwenye kosa kama la marijani.

wito wangu
kwa Raisi UDOSO ed. Marijani sio kiongozi anayekufaa kwa sasa kwani amekiuka katiba ambaya aliapa kuitetea
kwa uongozi wa juu DEAN of student .Tunaomba utusaidie huyu mtu atatumaliza
.kwa wanafunzi UDOM ed, tuendelee kumuombea mwanafunzi mwenzetu ambaye hadi sasa hali yake si nzuri kutokana na kipigo kutoka kwa huya kiongozi dharimu.Tuungane pamoja leo kapigwa mwaka wa kwanza kesho zamu yako

.UDOM CHUO CHANGU NAKUPENDA KWA MOYO WANGU WOTE
 
Chuoni mnapigwa halafu unakuja kulalamika huku???Kijana naona unatania,kweli mtu mmoja mmeshindwa kumdhibiti!!??Nafikiri na yeye ameshasoma mazingira, akaona ninyi ni wa kupigwa tu.
 
Mpelekeeni jina lake kwa Slaa kama na yeye anaripoti kwake.
 
Utakuwa umepigwa chini kwenye uchaguzi wewe ndio maana unaleta stress zako hapa Jf' kwanini usiende kushtaki kwa Raisi wa wanafunzi, au Raisi wa Udoso na hatua nyingine hapo chuoni?
 
Hakuna auxillary police huko?
 
mwanafunzi wa chuo kikuu anapigwa na kiranja wake????!!!! kweli udom ni chuo cha kata!!.
 
Wakati anatoa kichapo nyie wengine huwa mnakimbia? Au huwa anavaa nguo zenye misumari mnaogopa kumkumbatia? Wanafunzi wa siku hizi mabwege kweli enzi zetu we acha tu.
 
Inashangaza nyie mko chuo kikuu au shule ya msingi namalembo eti wasomi malofa kweli nyinyi si mumchangie mumtwange hasa.
 
hata mi najumuisha kuwa UDOM chuo cha kata!!! eti mwanafunzi wa chuo kupigwa na mwanachuo mwenzake khaaaaa imekua form four kwa form one enzi zetu!!?? kuna usalama wa taifa anayejitangaza...nna wasiwasi na usomi wako na wewe uloleta hii post..daaaah MATOKEO YA UKARABATI WA MATOKEO HAYA!!!
 
Jamani mkomalieni aua mnamuogopa
mimi naona atakuwa naawakusanya mademu ndio mana anachukiwa mpaka kaletwa jamii Forum kwa ushauri
Pelekeni pale Kituo cha POLISI hakuna anayeruhisiwa kumbonda mwenzie kwa kosa lolote
 
Wanafunzi wamekuwa mazuzu mpaka washindwe kumwadabisha? Hata kwa kummwagia kinyesi?
 
Jamani amesema Udom education sio udom nzima acheni kufanya generalization. Udom ina collage nyingi sasa naona huko kwa walimu ruksa kuchapana hata mateke yanaruhusiwa
 
Nilishudia siku fulani akimpiga mwanachuo mmoja bweni la M (Block M), nilipatwa na hasira na kutetemeka!!!!!!!!!


Fuc....ng leader i never saw in my life
 

sasa hata ukifinywa unakuja kulalamika humu JF? Weeni mtu gani aiseee!
 
da guyz mnanichosha kweli yeye nani?kwa nini ulivyo ona ulipata hasira na kutetemeka badala ya kumchapa.you guyz mmechukua hatua gani coz siku hizi lamenting haisaidii.ila chuo chenu cjui nahisi hata utawala una matatizo mwanafunzi mmoja anasumbua watu wa education wengi hivyo i think he is very powerfull.wake up fight for your right.
 

Wewe mleta maada ni mnafiki na yawezekana na uchuki na huyu waziri, tukio lenyewe lilikuwa hivi
"MSELA ALIENDA ROOM KWA MSICHANA ASUBUHI SAA MBILI NA NI BAADA YA KUZINGUANA KWENYE MAWASILIANO NA HUYO DEMU WAKE, PIA IFAHAMIKE JAMAA HUYU ANAYEITWA MBARAKA NI KIWEMBE YAANI MALAYA WA MAPENZI NA AMEFANYA MATUKIO MENGI YA VURUGU KWA WASHKAJI NA WADADA TOFAUTI NA HUYU WA MAJUZI. KILICHOTOKEA BAADA YA KUFIKA ROOM KWA MDADA AKAWA AMLAZIMISHE KUMNANII NA ASUBUHI ILE DEMU ALIVYOKATAA JAMAA AKAMPA ZA USO NDIPO MDADA AKAMPIA SIMU WAZIRI WA ULINZI NA ALIPOFIKA RUM KWA MDADA DEMU KWA HURUMA KWA BOYFRIEND WAKE AKAKATAA KUFUNGUA BUT NGUVU ILIPOTUMIKA NA WAZIRI KUINGIA JAMAA AKAKURUPUKA KUKIMBIA ILA AKATELEZA KATIKA DAMU ILIYOKUWA IMEMWAGIKA KUTOKA KWA DEMU ALIEMPIGA. NDIPO AKAUMIA NA KUKIMBIZWA SOCIAL NA HUYO WAZIRI NDIE ALIEMTETEA MSHKAJI ASIFUKUZWE ILA HAKUPIGWA" MUACHE KUPOTOSHA JAMII.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…