DIE FOR UDOM
New Member
- Jun 2, 2013
- 2
- 0
Nivema tukachukua muda huu tena kujaili suala hili ambalo sasa limekuwa kero hapa UDOM. kuna kiongozi mmoja wa serikari ya wanafunzi UDOSO Ed mekuwa akifanya mambo ambayo ni kinyume na sheria za nchi na chuo. Kiongozi huyu ambaye ni waziri wa ulinzi kwa jina MARIJANI.
....amekuwa akijichukulia sheria mkononi kwa kuwaadhibu wanafunzi hasa wa mwaka wa kwanza kwa kuwapiga mateke,ngumi,vifua,visiginonk. Swali najiuliza MARIJANI ni nani mpaka akaendelea kuwepo chuoni hadi sasa? kuna wanafunzi ambao wamefukuzwa chuo kwa kosa kama lake MRIJANI mbona hafukuzwi?Huyu bwana amekuwa akisema yeye ni usalama wa taifa.t Taifa gani hilo ambalo Marijani analitumikia? wakati mwingine husema yeye ni askari askari wa nchi gani huyu ambaye hajali utawala wa sheria?.Raisi wa serikali ya wanfunzi hili suala lipo ndani ya uwezo wako kwani kosa la marijani ni kosa la jinai na sheria za wanafunzi STUDENT BYLAW zipo wazi kwa mtu mwenye kosa kama la marijani.
wito wangu
kwa Raisi UDOSO ed. Marijani sio kiongozi anayekufaa kwa sasa kwani amekiuka katiba ambaya aliapa kuitetea
kwa uongozi wa juu DEAN of student .Tunaomba utusaidie huyu mtu atatumaliza
.kwa wanafunzi UDOM ed, tuendelee kumuombea mwanafunzi mwenzetu ambaye hadi sasa hali yake si nzuri kutokana na kipigo kutoka kwa huya kiongozi dharimu.Tuungane pamoja leo kapigwa mwaka wa kwanza kesho zamu yako
.UDOM CHUO CHANGU NAKUPENDA KWA MOYO WANGU WOTE