Pre GE2025 Waziri Ulega akagua matengenezo ya barabara ya Samora usiku

Pre GE2025 Waziri Ulega akagua matengenezo ya barabara ya Samora usiku

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega, akikagua maendeleo ya matengenezo ya barabara za Samora iliyopo Posta, katikati ya jiji la Dar es Salaam usiku huu.

Kupata taarifa, matukio na mijadala katika mikoa mingine Bara na Zanzibar ingia hapa: Kuelekea 2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Barabara hiyo muhimu inafanyiwa matengenezo makubwa ikiwemo kupitisha mradi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi katika jitihada za serikali ya awamu ya sita ya kurahisisha huduma za usafiri na usafirishaji nchini Tanzania.

Kupata vimbwanga na vituko vya wanasiasa kuelekea uchaguzi mkuu pita hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

IMG_2407.jpeg
 
Mbwembwe tu.. angeweza kwenda asubuhi.
Usiku amebadili kitu gani cha msingi ?!
 
Ukishampa mkandarasi hela na mkakaa chini kujadili scope ya kazi na time, mkaandika contract yenye penalties kwenye quality na time shida itakuwa wapi?
 
Kwenye engineering projects sehemu muhimu ambayo contractors huwa wanacompromise ni quality, kitengo cha kwenda site siku moja hauwezi kukufanya ukaona hivi vitu.
 
.......haina maana angeacha wataalam wanaokagua kila hatua wafanyee kazi yao....aache siasa uchwara bana
 
Back
Top Bottom