Pre GE2025 Waziri Ulega aonya wakandarasi wazembe, aagiza hatua kali kuchukuliwa kwa wanaosababisha ucheleweshwaji wa miradi ya Mwendokasi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
590
Reaction score
807
Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, ameonesha kutoridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Ubungo Daraja la Kijazi (Sam Nujoma) - Mwenge - Maktaba ya Taifa (Posta) yenye urefu wa kilometa 13.5. Na ujenzi wa miundombinu ya Mabasi hayo unaendelea kuanzia Mwenge hadi Tegeta (DAWASA) yenye urefu wa kilometa 15.63 ambapo ujenzi huo unatekelezwa na Wakandarasi wawili M/s China Geo Engineering na M/s Shandog Group Co. Ltd.

Akizungumza leo Jumatano, Machi 5, 2025, katika ziara yake ya kukagua maendeleo ya miradi hiyo, Waziri Ulega amekosoa vikali mkandarasi M/s China Geo Engineering kwa kuchelewesha kazi kinyume na makubaliano ya kimkataba ambapo amebaini kuwa licha ya kupokea malipo yote ya mradi huo, mkandarasi huyo bado ameonesha uzembe wa hali ya juu kwa kuwa na vifaa vichache, wafanyakazi wachache, na kupelekea kusababisha foleni kubwa jijini Dar es Salaam.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Mkandarasi M/s China Geo Engineering anatuchezea, na wewe Mhandisi Mshauri unatazama! Kila mahali wamechimba, lakini hakuna zege. Kwanini mmebakiza mwezi mmoja wa kimkataba na bado mna mtambo mmoja wa kuzalisha zege?" alihoji kwa ukali Waziri Ulega.

Aidha, amemtaka mwakilishi wa M/s China Geo Engineering kuhakikisha mabosi wa kampuni hiyo wanawasili Tanzania kabla ya mwisho wa mwezi Machi, 2025 akisema kuwa Serikali haitasita kutumia njia za kidiplomasia kuhakikisha suala hilo linashughulikiwa.

Aidha, wafanyakazi wa M/s China Geo Engineering wamelalamikia kutolipwa mishahara yao kwa wakati na kukosa marupurupu ya saa za ziada.

Kufuatia malalamiko hayo, Waziri Ulega ametoa agizo la haraka kwa mkandarasi kuhakikisha malipo hayo yanakamilika ndani ya saa mbili, akisisitiza kuwa hatua kali zitachukuliwa endapo maagizo hayo hayatafuatwa.

Kwa upande wake, Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Alois Matei, amesisitiza kuwa maagizo yote yaliyotolewa na Waziri Ulega yatafuatwa kikamilifu, ikiwa ni pamoja na kuhakikisha mabosi wa kampuni zinazotekeleza miradi ya BRT 4 Lot 1 na 2 wanawasili nchini kabla ya mwisho wa Machi.

Katika hitimisho lake, Waziri Ulega amewataka Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) na wahandisi washauri kuhakikisha miradi inakamilika kwa ubora na kwa wakati ili kupunguza kero ya msongamano jijini Dar es Salaam.

"Hatuna muda wa kuongezea mkandarasi siku za nyongeza! Watanzania wanapata adha kubwa ya foleni. Hakikisheni kazi inakamilika kwa muda uliopangwa, vinginevyo tutachukua hatua kali," alisisitiza Waziri Ulega.

Wakandarasi wawili M/s China Geo Engineering na M/s Shandog Group Co. Ltd wanaojenga barabara hizo, wamesema wamepokea maelekezo na Watayafanyia kazi huku M/s China Geo Engineering akiahidi kwamba atahikikisha Vifaa vyote vya Ujenzi vinafika Nchini Tanzania mwishoni mwa Mwezi Machi 2025

Kwa upande wa mradi wa upanuzi wa Barabara ya Morogoro, Waziri Ulega alikataa tarehe ya ukamilishaji ya Mei na Agosti 2025, akitaka kipande cha kwanza cha Kimara hadi Ubungo kikamilike ifikapo Aprili.
 
Kwenye sekta ya ujenzi, wakandarasi wana kula sana rushwa. TAKUKURU wamchunguze huyo mkandarasi.
 
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameonesha kutoridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) hususan awamu ya jijini Dar es Salaam, huku akiweka msimamo mkali dhidi ya wakandarasi wazembe na wahandisi washauri wanaoshindwa kutimiza wajibu wao.

Akizungumza leo Jumatano, Machi 5, 2025, katika ziara yake ya kukagua maendeleo ya miradi hiyo, Waziri Ulega amekosoa vikali mkandarasi China Geo kwa kuchelewesha kazi kinyume na makubaliano ya kimkataba ambapo amebaini kuwa licha ya kupokea malipo yote ya mradi huo, mkandarasi huyo bado ameonesha uzembe wa hali ya juu kwa kuwa na vifaa vichache, wafanyakazi wachache, na kupelekea kusababisha foleni kubwa jijini Dar es Salaam.

"Mkandarasi China Geo anatuchezea, na wewe Mhandisi Mshauri unatazama! Kila mahali wamechimba, lakini hakuna zege. Kwa nini mmebakiza mwezi mmoja wa kimkataba na bado mna mtambo mmoja wa kuzalisha zege?" alihoji kwa ukali Waziri Ulega.

Aidha, amemtaka mwakilishi wa China Geo kuhakikisha mabosi wa kampuni hiyo wanawasili Tanzania kabla ya mwisho wa Machi, akisema kuwa serikali haitasita kutumia njia za kidiplomasia kuhakikisha suala hilo linashughulikiwa.

Waziri Ulega pia ameeleza kuwa Serikali ya Tanzania haina deni lolote kwa mkandarasi huyo, bali ni mkandarasi anayedaiwa na Watanzania kazi waliyoilipia na kusisitiza kuwa endapo kazi hiyo haitakamilika kwa wakati, kampuni hiyo haitapewa tena kazi nyingine nchini.

Kwa upande wake, Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Alois Matei, amesisitiza kuwa maagizo yote yaliyotolewa na Waziri Ulega yatafuatwa kikamilifu, ikiwa ni pamoja na kuhakikisha mabosi wa kampuni zinazotekeleza miradi ya BRT 4 Lot 1 na 2 wanawasili nchini kabla ya mwisho wa Machi.

Matei amewataka TANROADS na wasimamizi wa miradi hiyo kufuata mikataba na kuhakikisha taratibu za kisheria zinazingatiwa katika hatua zote za utekelezaji wa miradi hiyo.

Katika hatua nyingine, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule, ameunga mkono msimamo wa Waziri Ulega na kupendekeza baadhi ya kazi zigawiwe kwa kampuni za kizalendo ili kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi huo.

Aidha, wafanyakazi wa China Geo wamelalamikia kutolipwa mishahara yao kwa wakati na kukosa marupurupu ya saa za ziada.

Kufuatia malalamiko hayo, Waziri Ulega ametoa agizo la haraka kwa mkandarasi kuhakikisha malipo hayo yanakamilika ndani ya saa mbili, akisisitiza kuwa hatua kali zitachukuliwa endapo maagizo hayo hayatafuatwa.

Kwa upande wa mradi wa upanuzi wa Barabara ya Morogoro, Waziri Ulega alikataa tarehe ya ukamilishaji ya Mei na Agosti 2025, akitaka kipande cha kwanza cha Kimara hadi Ubungo kikamilike ifikapo Aprili.

Katika hitimisho lake, Waziri Ulega amewataka Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) na wahandisi washauri kufuata mikataba na kuhakikisha miradi inakamilika kwa ubora na kwa wakati ili kupunguza kero ya msongamano jijini Dar es Salaam.

"Hatuna muda wa kuongezea mkandarasi siku za nyongeza! Watanzania wanapata adha kubwa ya foleni. Hakikisheni kazi inakamilika kwa muda uliopangwa, vinginevyo tutachukua hatua kali," alisisitiza Waziri Ulega.
Anataka miradi ya mwendokasi imalizike haraka mabasi anayo? Mbona mbagala miundombinu hadi inaanza kuharibika lakini hakuna basi hadi sasa linalopita
 
Hapo ni kutafuta aonekane kwenye TV aliyemteua aone anafanya kazi kweli kweli
 
Watendaji wa hii wizara walikuwa wapi Hadi mkandarasi analipwa karibia fedha zote,na kazi haijafanyika????

Kwanini mkandarasi,awekewe fedha kwenye account yake huko china,wakati kazi inafanyika Tanzania?
 
Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, ameonesha kutoridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Ubungo Daraja la Kijazi (Sam Nujoma) - Mwenge - Maktaba ya Taifa (Posta) yenye urefu wa kilometa 13.5. Na ujenzi wa miundombinu ya Mabasi hayo unaendelea kuanzia Mwenge hadi Tegeta (DAWASA) yenye urefu wa kilometa 15.63 ambapo ujenzi huo unatekelezwa na Wakandarasi wawili M/s China Geo Engineering na M/s Shandog Group Co. Ltd.

Akizungumza leo Jumatano, Machi 5, 2025, katika ziara yake ya kukagua maendeleo ya miradi hiyo, Waziri Ulega amekosoa vikali mkandarasi M/s China Geo Engineering kwa kuchelewesha kazi kinyume na makubaliano ya kimkataba ambapo amebaini kuwa licha ya kupokea malipo yote ya mradi huo, mkandarasi huyo bado ameonesha uzembe wa hali ya juu kwa kuwa na vifaa vichache, wafanyakazi wachache, na kupelekea kusababisha foleni kubwa jijini Dar es Salaam.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Mkandarasi M/s China Geo Engineering anatuchezea, na wewe Mhandisi Mshauri unatazama! Kila mahali wamechimba, lakini hakuna zege. Kwanini mmebakiza mwezi mmoja wa kimkataba na bado mna mtambo mmoja wa kuzalisha zege?" alihoji kwa ukali Waziri Ulega.

Aidha, amemtaka mwakilishi wa M/s China Geo Engineering kuhakikisha mabosi wa kampuni hiyo wanawasili Tanzania kabla ya mwisho wa mwezi Machi, 2025 akisema kuwa Serikali haitasita kutumia njia za kidiplomasia kuhakikisha suala hilo linashughulikiwa.

Aidha, wafanyakazi wa M/s China Geo Engineering wamelalamikia kutolipwa mishahara yao kwa wakati na kukosa marupurupu ya saa za ziada.

Kufuatia malalamiko hayo, Waziri Ulega ametoa agizo la haraka kwa mkandarasi kuhakikisha malipo hayo yanakamilika ndani ya saa mbili, akisisitiza kuwa hatua kali zitachukuliwa endapo maagizo hayo hayatafuatwa.

Kwa upande wake, Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Alois Matei, amesisitiza kuwa maagizo yote yaliyotolewa na Waziri Ulega yatafuatwa kikamilifu, ikiwa ni pamoja na kuhakikisha mabosi wa kampuni zinazotekeleza miradi ya BRT 4 Lot 1 na 2 wanawasili nchini kabla ya mwisho wa Machi.

Katika hitimisho lake, Waziri Ulega amewataka Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) na wahandisi washauri kuhakikisha miradi inakamilika kwa ubora na kwa wakati ili kupunguza kero ya msongamano jijini Dar es Salaam.

"Hatuna muda wa kuongezea mkandarasi siku za nyongeza! Watanzania wanapata adha kubwa ya foleni. Hakikisheni kazi inakamilika kwa muda uliopangwa, vinginevyo tutachukua hatua kali," alisisitiza Waziri Ulega.

Wakandarasi wawili M/s China Geo Engineering na M/s Shandog Group Co. Ltd wanaojenga barabara hizo, wamesema wamepokea maelekezo na Watayafanyia kazi huku M/s China Geo Engineering akiahidi kwamba atahikikisha Vifaa vyote vya Ujenzi vinafika Nchini Tanzania mwishoni mwa Mwezi Machi 2025

Kwa upande wa mradi wa upanuzi wa Barabara ya Morogoro, Waziri Ulega alikataa tarehe ya ukamilishaji ya Mei na Agosti 2025, akitaka kipande cha kwanza cha Kimara hadi Ubungo kikamilike ifikapo Aprili.
View attachment 3259962
Tukiwaambia wachina hawafai na sio wadau sahihi wa Maendeleo mnasema tuna ubaguzi... let's reap what we sow...
 
Tanroad nayo ni kama Mfugale aliondoka na watalaam wazuri.Ni kama vile wao hawa design yao kabla ya kumpa tenda.Strabarg alifanya vizuri kwe Phase I ila zilizofuata hazieleweki,vituo vya ajabu ajabu.Hivi kile kituo kirefu kilichopo Amani mtaalamu aliyeshauri anafikiria nini.Hii haina tofauti na mazonge mazonge ya mradi wa Itoni-Lusitu mkandarasi alifumua fumua barabara karibu kilomita 50 zote halafu mradi umesimama ameacha mashimo tu.Unajiuliza mhandisi mshauri anashauri nini? TANROAD watalaam wake wanashauri nini? Tunahitaji kubadili haya mambo.
 
Kiingereza kina miiko yake.

Huwezi kuongea English kwa miondoko ya waziri, utaonekana kituko tu.

Angezungumza tu kwa kiswahili mkalimani akawatafsiria wachina na sio kujikakamua na kiingereza cha ugoko, ni aibu
 
Back
Top Bottom